johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KaribuUWT hakuna kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuUWT hakuna kazi?
Wanaccm ni wapumbavu sana kwani wao siku zote mwaka mzima wanawaza kura tu! Nchi inahitaji utatuzi wa mambo mengi kama kufufua viwanda ilivyoviua na mashamba makubwa iliyoyaua, yenyewe yamekalia kuwaza kura ambazo wao ndio wanaozihesabu.Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha.
Amewataka wababa wakae kwa kutulia na wampe ushirikiano mama.
Tulieni tumewachokaKaribu
nashukuru kwa kulitambua hiloUpinzani wanahitaji posho na ruzuku tu, wala hawana shida ya kwenda Ikulu, ni ukweli mchungu kuumeza.
Katulizwa FreemanTulieni tumewachoka
Sawa UWTKatulizwa Freeman
Huyo mama, ana wakwe MAWAZIRI wangapi?Anamsifia mkwe wake jamani. Chezea mama mkwe wewe!!!
Uchaguzi usipokuwa na magumashi kila mtu si ataona? Mfumuko wa bei Aweso anajua ulivyo?Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha.
Amewataka wababa wakae kwa kutulia na wampe ushirikiano mama.
UtotoHahaha.......
Ofisi mtahamishia nyumbani kwa Tundu Lisu hadi atakaporudi
Kuna watu kula KWa urefu wa kamba zao kunawatesa Sana, tz hakuna anaesema chama flani kisiongoze nchi ilihali umefanyika uchaguzi wa huru na haki, na chini ya tume huru na maamuzi ya wananchi kueshimika basi ,kwamba alieshinda kashinda kihalali na alieshindwa kashindwa kihalali basi ,hapo sijui kelele za tumeibiwa zitatoka wapiWaziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha.
Amewataka wababa wakae kwa kutulia na wampe ushirikiano mama.