Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site"

"Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji, unamuuliza kwanini hapa wananchi hawapati maji wakati fedha za serikali zimetolewa bilioni 1.3, anakwambia Mheshimiwa waziri ndo maana nilitaka nikunong'oneze, Mheshimiwa Rais, Mhandisi wa maji anasema Mheshimiwa Waziri sijawahi kuona Wananchi wachawi kama katika hichi Kijiji, namuuliza anasemaje ananiambia hapa tumefanya kazi kubwa lakini usiku hapa mabomba yanapaa kama ndege"

Waziri wa Maji Juma Aweso akizungumza katika Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 toleo la mwaka 2025.
IMG_0930.jpeg
 
Back
Top Bottom