Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

asie kubali uchawi upo ujue huyo ni masokolindo au ngiri poli,mkandarasi amalize kazi asilete blah blah,yaki paa juu anapaswa ayafate juu huko huko
 
Tatizo watu wanafanya kazi mjini maisha yao yote hii kitu anaona tu kama stori nenda kafanye kazi huko ndani ndani huko ndio utajua.
 
Huu ni utani na hela za umma.
Kama kweli Kuna huo ujinga ni amri moja tu kutoka kwa Rais nataka maji yatoke kesho yasipotoka serikali itaingia kazini, uone kama sijui uchawi mara ujinga gani utatokeo hapo.

Tuache kuchekea ujinga.
 
Maadui Wa Tanzania Ni :-
1 . Umasikini
2 . Ujinga
3 . Maradhi
4 . CCM




Ili Tanzania Iendelee Zaidi Inahitaji :-
1 . Watu
2 . Siasa Safi
3 . Uongozi Bora
4 . Ardhi
5 . . Kuitoa CCM Madarakani
 
Huu ni utani na hela za umma.
Kama kweli Kuna huo ujinga ni amri moja tu kutoka kwa Rais nataka maji yatoke kesho yasipotoka serikali itaingia kazini, uone kama sijui uchawi mara ujinga gani utatokeo hapo.

Tuache kuchekea ujinga.
Yeye Rais hajipendi? Nyerere, Mwinyi,Mkapa na JK walikuwa anaenda kuwabembeleza, kisha baada ya hapo mambo yanaenda vizuri. Leo unataka Mama atumie nguvu? Mdanganye.
 
Kuna comments za watu ukisoma humu unaweza ukadhani walizaliwa na kukulia Amsterdam au nchi za Ulimwengu wa kwanza, na hivyo hawaijui vizuri Africa hususani rural areas. Kujizima data tu, ila Uchawi upo.
 
Back
Top Bottom