Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

😃😃😃😃😃😄😄🙌nimesoma msg zote nacheka😃,hivi ni kweli sisi watanzania tumekosa akili kiasi Hawa wanasiasa wanatupigisha story za kiduanzi kabisa hizi ili iweje?🤣
 
Uchawi upo ....kwasababu hakuna mtu aliekawa mbishi kuhusu uwepo wa uchawi kumzidi baba yangu mdogo ila katika harakati za maisha akapelekwa kijiji fulani kinaitwa mnali kipo wilaya ya newala...alipofika ile shule alikuta nidhamu ni mbovu sana,walimu hawawafanyi chechote wanafunzi zaidi ya kuwaogopa..akaamua kuwanyoosha wanafunzi aisee kuna siku akamuadhibu dogo fulani aisee dogo akamwambia baba mdogo kuwa sawa utaona na nikweli na kweli yalimtokea mambo ambayo bamdogo mwenyewe alienda kuomba msamaha huku ameipigia magoti ile familia na kikawa chanzo cha kuhama ile shule... Mkuu wa wilaya ya newala wakati ule gama na uongozi wa wilaya wakaenda kufanya mkutano wa wazee wa kijiji kuhusu kuacha hayo mambo kwasababu wenye hasara sio walimu ila ni wazazi
 
Nipo sekta ya maji ila kwa hili watalaam wenzangu mmeniangusha sana..mambo hayahaya yapo kilwa huku...me siwezi kuogopa UCHAWI maana HAKUNA kitu kama hicho ni ujinga tu..
 
Uchawi upo ....kwasababu hakuna mtu aliekawa mbishi kuhusu uwepo wa uchawi kumzidi baba yangu mdogo ila katika harakati za maisha akapelekwa kijiji fulani kinaitwa mnali kipo wilaya ya newala...alipofika ile shule alikuta nidhamu ni mbovu sana,walimu hawawafanyi chechote wanafunzi zaidi ya kuwaogopa..akaamua kuwanyoosha wanafunzi aisee kuna siku akamuadhibu dogo fulani aisee dogo akamwambia baba mdogo kuwa sawa utaona na nikweli na kweli yalimtokea mambo ambayo bamdogo mwenyewe alienda kuomba msamaha huku ameipigia magoti ile familia na kikawa chanzo cha kuhama ile shule... Mkuu wa wilaya ya newala wakati ule gama na uongozi wa wilaya wakaenda kufanya mkutano wa wazee wa kijiji kuhusu kuacha hayo mambo kwasababu wenye hasara sio walimu ila ni wazazi
Serikali kama imesahau watu wa namna hiyo ,huko kulitakiwa community engagement kwa sana ...Kwenda kutoa elimu mara kwa mara.

Rafiki yangu ni safety officer kwenye miradi ya ujenzi ya kampuni ya wachina ,anakuambia wamejipanga sana kukabiliana na suala hilo ; Mbinu wanayo tumia kama wana mradi lazima wafike waonane na wanakijiji hasa wazee ili kuwasoma kwanza ...Tangu jamaa afanye kazi anasema hajawahi kuona mambo ya uchawi kutokana na mbinu hiyo.

Kuna kijiji huko kanda ya ziwa anakuambia wazee walitaka vibarua wote watokee kijijini hapo kwao ,basi wakatimiza ahadi na mradi ulienda bila ya wasiwasi..
 
Ila watz jmni mmmmmhhh

Shinyanga mmmmhhh
 
Uchawi upo ....kwasababu hakuna mtu aliekawa mbishi kuhusu uwepo wa uchawi kumzidi baba yangu mdogo ila katika harakati za maisha akapelekwa kijiji fulani kinaitwa mnali kipo wilaya ya newala...alipofika ile shule alikuta nidhamu ni mbovu sana,walimu hawawafanyi chechote wanafunzi zaidi ya kuwaogopa..akaamua kuwanyoosha wanafunzi aisee kuna siku akamuadhibu dogo fulani aisee dogo akamwambia baba mdogo kuwa sawa utaona na nikweli na kweli yalimtokea mambo ambayo bamdogo mwenyewe alienda kuomba msamaha huku ameipigia magoti ile familia na kikawa chanzo cha kuhama ile shule... Mkuu wa wilaya ya newala wakati ule gama na uongozi wa wilaya wakaenda kufanya mkutano wa wazee wa kijiji kuhusu kuacha hayo mambo kwasababu wenye hasara sio walimu ila ni wazazi
Nasikia vijiji vya Newala ni balaa.
Niliwahi kufika kijiji kimoja jirani na kijiji walichowahi kumchachafya Hayati Magufuli, kuna mtu aliniuliza jambo nikawa namuelekeza kwa kidole akaniambia shusha huo mkono haraka.

Nikamuuliza kwanini? Akanambia kuna mtu mkono umewahi kuganda hewani mpaka leo anatembea hivyo hivyo. Dah!

Kesho yake ile narudi mjini nipo kwenye pikipiki kikatokea kimbunga ghafla kikatuvaa, bahati nzuri hatukuanguka wala kuyumba.
 
Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site"

"Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji, unamuuliza kwanini hapa wananchi hawapati maji wakati fedha za serikali zimetolewa bilioni 1.3, anakwambia Mheshimiwa waziri ndo maana nilitaka nikunong'oneze, Mheshimiwa Rais, Mhandisi wa maji anasema Mheshimiwa Waziri sijawahi kuona Wananchi wachawi kama katika hichi Kijiji, namuuliza anasemaje ananiambia hapa tumefanya kazi kubwa lakini usiku hapa mabomba yanapaa kama ndege"

Waziri wa Maji Juma Aweso akizungumza katika Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 toleo la mwaka 2025. View attachment 3279867
 
Aweso, RC Dodoma, RC manyara,RC songwe, RC Arusha, Nchimbi, Doto, Nchemba, wanamjulia mama!

Wakimsifia au kumuogopesha, mama anatulia na kuwasahau kuwahamisha au kuwashusha vyeo.
Kabisa mkuu wanacheza na akili ya Samia mbaya zaidi hata washauri wake wamekaa kimya hawamuelezi ukweli.
 
Haya mambo yapo let's not pretend hayapo.Wakandarasi wanapataga shida sana vijijini unless waongee na wazee wa kijiji au wazunguke wanakojua
Wapuuzi. Wanaendaje bila kuwaona wazee. Kwannn hawajifunz kwa nyerer aloyekuwa anawaona wazee kwanza.

Aweso hajitambui. Yeye mwenyrwe anaamiji sana katika tunguli. Yaabn anatakiwa awe mbunge wa kawaida tu. Uwazir umempa kichwa.

Na wake zake analingia nini sijui
 
Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site"

"Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji, unamuuliza kwanini hapa wananchi hawapati maji wakati fedha za serikali zimetolewa bilioni 1.3, anakwambia Mheshimiwa waziri ndo maana nilitaka nikunong'oneze, Mheshimiwa Rais, Mhandisi wa maji anasema Mheshimiwa Waziri sijawahi kuona Wananchi wachawi kama katika hichi Kijiji, namuuliza anasemaje ananiambia hapa tumefanya kazi kubwa lakini usiku hapa mabomba yanapaa kama ndege"

Waziri wa Maji Juma Aweso akizungumza katika Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 toleo la mwaka 2025. View attachment 3279867
Tulishachoka na ngonjera zao sisi.

Hotuba nzima ni ya kutukuza na kuabudu tu!

Ni kumsifia Samia anavyofumbia macho na kulea mafisadi basi!

Hakuna lolote la maana aliloliongea zaidi ya uchawa na kupalilia ugali wa kujaza tumbo lake.
 
Haya mambo yapo let's not pretend hayapo.Wakandarasi wanapataga shida sana vijijini unless waongee na wazee wa kijiji au wazunguke wanakojua
Mfano wakati wa ujenzi wa daraja LA mto Rufiji ilibidi ipigwe ngoja kwa gharama ya serikali ili kuiomba mizimu ya pale wakubali daraja lijengwe. Walikesha siku tatu
 
Back
Top Bottom