Hapo sijui nani mjinga.
Majibu mepesi Kwa maswali mazito!
Mbeya watu wasingechunwa ngozi au kuuwana kwa kupigana kichwani nondo za buchani ili biashara ya nyama ifanye vizuri.Hicho kijiji dawa ni kufungua makanisa mengi ili kukomesha wachawi hao. Makanisa hayajawahi kushindwa na wachawi