begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
Taifa linapitia kipindi kigumu sana๐๐๐๐๐๐๐๐nimesoma msg zote nacheka๐,hivi ni kweli sisi watanzania tumekosa akili kiasi Hawa wanasiasa wanatupigisha story za kiduanzi kabisa hizi ili iweje?๐คฃ
Oktoba kuna nn ndg? CCM kuitoa ni ndoto ya mchanaWaziri Aache Fix, MwAka Huu October Siyo Mbali
Yeye Rais hajipendi? Nyerere, Mwinyi,Mkapa na JK walikuwa anaenda kuwabembeleza, kisha baada ya hapo mambo yanaenda vizuri. Leo unataka Mama atumie nguvu? Mdanganye.Huu ni utani na hela za umma.
Kama kweli Kuna huo ujinga ni amri moja tu kutoka kwa Rais nataka maji yatoke kesho yasipotoka serikali itaingia kazini, uone kama sijui uchawi mara ujinga gani utatokeo hapo.
Tuache kuchekea ujinga.