AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Msanii tajiri ambae huwa ni msiri sana wa mafanikio yake leo amekiri kumiliki nyumba Amerika pia akaongezea soon atahamishia makazi yake pande za States. Aliyaseme hayo akiwa clouds fm radio wakati anazzindua wimbo wake wa Safari. Hongera sana mzee wa commercial
 
Nyumba au apartment?

AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Chezea Tutsi ni high maintenance women...

AY na jumba United States of America wapi na wapi?

Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?

Kiki za kizamani sana hizi!

Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
 
Tigo walimlipa ile pesa yake/\?

Hawajalipwa hata mia....Wangelipwa ingekua ni breaking news TZ nzima!

Walikata rufaa,na inavyokwenda,wanaweza settle outta court au wakashindwa all together!

Tigo wakishindwa ni precedence wanamziki wote watafungua na wao kesi wataifungia Tigo mbali,kuna janja wanacheza ngoma ife!
 
Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
 
Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+

Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech (corrected: Ifunda Tech) anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
 
Wtf with all these hates nigga? Alikulia demu wako nini?
 
Sampuli za Jiwe hizi.

.Poverty mentality
.No facts
 
Wtf with all these hates nigga? Alikulia demu wako nini?

Mzee,sijui kwanini mtu aki-refute lies anaonekana hater!

tangu lini mtu muongo akiwekwa wazi anajitetea aliemuweka wazi ni hater?

Tangu lini AY akalipwa milioni 150 kwa show?Ni pure lies!

Kwanini watu waongo namna hii?Ukisema ukweli kuna ubaya gani?
 
Hichi ndicho alichosema mkuu @nukta5
Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Jifunze kusoma uelewe na upinge ukiwa na ushahidi. ALIANDAA SHOO.... nathani unaelewa hapo Ukweli wako ni upi na uongo wake ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…