Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sampuli za Jiwe hizi.
.Poverty mentality
.No facts
Pumbaf*
Show ipi?Taja jina la show,eneo,dates na utaje headline artists waliokuja...Kama hautashikwa na uongo wako hapa hapa!Jifunze kusoma uelewe na upinge ukiwa na ushahidi. ALIANDAA SHOO.... nathani unaelewa hapo
Mkuu naomba uulize kwa umakini kabisa CMG process inayotumika ku-book American International Artist!Ukweli wako ni upi na uongo wake ni upi
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!
Nadhani upo sahihi..Nadhani jamaa amechanganya wazazi mmoja Mbongo na mwingine Mnyarwanda......Mwanamke huyo wa Kinyarwanda hawezi kumshinda nguvu kwani na yeye ni wa huko huko, mama yake ni myarwanda aliyeolewa na msokile mmoja akiitwa Yesaya Mwakipagema!!!
Kinachoboa mkuu ni hizi kiki za kizamani za kusema uongo ili u-trend!Kwa mzee kama AY kujenga kiki kama hizi zinafanya aonekane more than stupid!Huyu kijana hana ubavu wa kumiliki huo mjengo huko USA alipiga nao picha tu; hapo Kigamboni tu aliweka rehani nyumba yake benki mpaka sasa ameshindwa kulipa deni na bila shaka itapigwa mnada!!
Kununua nyumba USA unaona ni miujiza au nini,labda jumba lakini nyumba wabongo wengi tu wanazo USA,UK,CANADA.Nyumba au apartment?
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!
Chezea Tutsi ni high maintenance women...
AY na jumba United States of America wapi na wapi?
Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?
Kiki za kizamani sana hizi!
Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Ulizia vizuri, afu uje urekebishe ulichosemaHawajalipwa hata mia....Wangelipwa ingekua ni breaking news TZ nzima!
Walikata rufaa,na inavyokwenda,wanaweza settle outta court au wakashindwa all together!
Tigo wakishindwa ni precedence wanamziki wote watafungua na wao kesi wataifungia Tigo mbali,kuna janja wanacheza ngoma ife!
Daaah we mchizi una chuki na AY hahahahahahahMkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Ulizia vizuri, afu uje urekebishe ulichosema
Ile hela walichukua....Hawajalipwa hata mia....Wangelipwa ingekua ni breaking news TZ nzima!
Walikata rufaa,na inavyokwenda,wanaweza settle outta court au wakashindwa all together!
Tigo wakishindwa ni precedence wanamziki wote watafungua na wao kesi wataifungia Tigo mbali,kuna janja wanacheza ngoma ife!
Halafu uwe unafatilia vizuri yule manzi yuko na mchiz for 10 fvcking years since huyo sista sura imechakaa na kufubaaNadhani upo sahihi..Nadhani jamaa amechanganya wazazi mmoja Mbongo na mwingine Mnyarwanda......
Kushindwana sidhani,ila jamaa haitakiwi kuzubaa zubaa kama yupo na Mmbongo wa kawaida.Yule dada yaelekea ni wa gharama fulani,sio cheap cheap!
Kinachoboa mkuu ni hizi kiki za kizamani za kusema uongo ili u-trend!Kwa mzee kama AY kujenga kiki kama hizi zinafanya aonekane more than stupid!
Nadhani AY katoa wimbo ndio anajaribia kuujengea buzz za kiduwanzi namna hii,of which anadhani bado wabongo ni maduwanzi kama 2015 au 2016!
That stupid formula worked that time,sio kwamba itafanya kazi always....This guy has to leave cheap kiki kama hizi kwa watoto!
Braza... Inatosha kwa sasa.Mkuu
Kwa rule of thumb tu kwa jinsi wanapenda sifa hawa watu ungekuta zishawekwa habari kwenye media au hata instagram!
Judgement ni kitu cha wazi,na mahakamani waandishi wa habari wanashinda pale..Na hii ilikua ni high profile case including entertainers,ni juicy news hawawezi ziacha hizi habari!
Another strong point ni kuhusu wasanii wengine,wangekimbia kufungua na wao haya makesi,Tigo wangehama nchi eti!Tigo walitumia nyimbo za wasanii wote kabisa,sema AY na MwanaFA na kile kijamaa wakaamua ku-press charges walijua kuna hela watavuna!
Last time I heard kwenye news ni kua Tigo walikata rufaa!...
Tuseme labda wali-settle out of court,na kumbuka walikua watatu,AY,MwanaFA na Msando...
Na pesa waliyokua wanategemea ni nearly 3 Bilion kama wangeshinda kesi....
Katika settling out of court watakubalia hela ndogo zaidi ya hiyo,lets say 2Bilion..
Wakilipwa ukitoa gharama za kesi,gharama za ma-producers,publishers,etc inaweza baki 1.5Bilion wakagawana 0.5Bilion each....
Haya sasa,kwa milion 500 AY anaweza nunua nyumba ya USD 600,000 katika jiji la Los Angeles USA kweli kama sio uongo mtakatifu huu?
Halafu jamaa anaona ishu kubwaa mi huwa natizama Chanel inaitwa Fine living Azam kuna miji USA unapata hadi nyumba za dola 100000 so sio ishu sanaKununua nyumba USA unaona ni miujiza au nini,labda jumba lakini nyumba wabongo wengi tu wanazo USA,UK,CANADA.
Kwanini ashidwe mkuu!!,Mimi 0.5 billion kwa mwaka inazaa 2.0 billions why not him?Mkuu
Kwa rule of thumb tu kwa jinsi wanapenda sifa hawa watu ungekuta zishawekwa habari kwenye media au hata instagram!
Judgement ni kitu cha wazi,na mahakamani waandishi wa habari wanashinda pale..Na hii ilikua ni high profile case including entertainers,ni juicy news hawawezi ziacha hizi habari!
Another strong point ni kuhusu wasanii wengine,wangekimbia kufungua na wao haya makesi,Tigo wangehama nchi eti!Tigo walitumia nyimbo za wasanii wote kabisa,sema AY na MwanaFA na kile kijamaa wakaamua ku-press charges walijua kuna hela watavuna!
Last time I heard kwenye news ni kua Tigo walikata rufaa!...
Tuseme labda wali-settle out of court,na kumbuka walikua watatu,AY,MwanaFA na Msando...
Na pesa waliyokua wanategemea ni nearly 3 Bilion kama wangeshinda kesi....
Katika settling out of court watakubalia hela ndogo zaidi ya hiyo,lets say 2Bilion..
Wakilipwa ukitoa gharama za kesi,gharama za ma-producers,publishers,etc inaweza baki 1.5Bilion wakagawana 0.5Bilion each....
Haya sasa,kwa milion 500 AY anaweza nunua nyumba ya USD 600,000 katika jiji la Los Angeles USA kweli kama sio uongo mtakatifu huu?
Daaah we mchizi una chuki na AY hahahahahahah
Kwanza AY hajasoma Iyunga tech amesoma Ifunda tech hapo iringa .
Pia hajawahi lipwa kwa kupiga shoo Bali alihusika kuandaa shoo yaani kama crew wa promotion .
Brother Mbudya island kila mtu hapa anaenda,ni boti na wala sio yatchs!Jamaa na biashara za boti (mini yatchs)huko mbudya via slipway na kule boti inakodi hadi 2000$ so just imagine jamaa anapiga ngapi .
Ndio maana hakimbizani na muziki sana siku hizi wala kupandishwa Costa za fiesta so usimchukulie poa jamaa .
Kwanini ashidwe mkuu!!,Mimi 0.5 billion kwa mwaka inazaa 2.0 billions why not him?