Mkuu tunaongea lugha mojaIle hela walichukua....
through guarnishee order...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaongea lugha mojaIle hela walichukua....
through guarnishee order...
Mkuu zitaje na utoe locations na particulars then sisi tutajua jinsi ya ku-prove!AY ana bizness zake hapa mjini na kawekeza sana kwenye ardhi toka kitambo ndo maana hata mziki anafanya kitajiri siyo kwamba unamlipa sana alijiandaa mapema sana.
Hata km uongeacho ni kweli ila dah..una chuki kishenzi na AY si ungeongea tu kawaida tungekuelewa?Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Wamelipwa na tigo yeye na mwana FA hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa ana ela na baada ya hapo ndo akaenda MarekaniMkuu zitaje na utoe locations na particulars then sisi tutajua jinsi ya ku-prove!
1.Ardhi tutachungulia ardhi kule
2Makampuni tutachungulia Brela na TRA na benki accounts
3.etc
Taja hizo biashara moja baada ya ingine!
Tutajua jinsi zinavyojenga pesa kiasi kikubwa namna hiyo inayofanya atoe audio ashindwe hata kutoa video ya wimbo wake mpya wa leo!
Weka ukweli unaoujua wewe kuhusu huyo ewahiPumbavu ni wewe!
Anaeweka uwongo wa mtu bayana anaonekana ana "poverty" mentality..Niggaz,are you insane?
Achana na hearsay kama umpo kwenye field ebu fatilia vizuri, wale sio watu wa show off kama wasanii wengine
Weka ukweli unaoujua wewe kuhusu huyo ewahi
Ingekuwa ni chibudii chibudee ingekuwaje? Insta ingeiomba msamaha ila ndio hivy kila mtu na life style yake hongera Ay
Mbona hiyo nyumba alishawai kupost kitambo tu ebu angalia post zake za nyumaMkuu
AY anapenda show off kama wengine,sema wengine wanamzidi kwenye sector ya creativity ya hizo show off,ni kuzidiana tu,ila anapenda sana!
Pili ni vizuri mkataja hizo biashara zake hapa kwa majina hasa then sisi tutajua jinsi ya ku-prove kama kweli zinapesa hizo au na yeye ni mmiliki kweli.
Tatu,kwanini hii kiki imetoka leo aliyotoa wimbo wa SAFARI na sio wiki iliyopita?Kumbuka katoa kiki ya kumiliki vitu ambavyo HANA!AY kawa low kiasi hiki cha Hamorapa?
Twende,A to Z,taja biashara zake moja baada ya ingine kwa majina na locations then tuwa-debunk hapa hapa kweupee!
Pia tunaomba location ya hiyo property ndani ya LA ili tuwawekee hapa owner halisi wa hiyo property!
Mbona hiyo nyumba alishawai kupost kitambo tu ebu angalia post zake za nyuma
Nilimwambia jamaa mchizi alikuwa part of crew ya kuandaa event jamaa kawaka hapa sana hahahahah chuki hizi jamani
Nilimwambia jamaa mchizi alikuwa part of crew ya kuandaa event jamaa kawaka hapa sana hahahahah chuki hizi jamani
Haya muhusika kajibu hapo aangalie vizuri
Alichoandika
Jamaa huyu Wyatt ana chuki sana
Halafu Wyatt si ndo yule fala kwa alie uliwa na Alex mahone kwenye prison break mwanzo alikuwa mbabe sana mwisho akafa kifala sana heheheheheh
Mwanzo ulisema hana ubavu wa kuandaa show za kuwaleta wasanii wa nje saivi unauliza alipata kiasi hahahahaha wewe jamaa world class hater hahahahahKwenye show ya 150mil Ay alipata shilingi ngapi kama mgao wake?
hardly 50mil if we become too generous....Now is 50mil make you buy 600,000USD house in Los Angeles California?Maybe through his butt!
Jamaa walilipwa ela na tigo ndo habari za kuhamia marekani na kununua nyumba zikasambaa, nina hakika na hili kwakuwa kesi yao ilikuwa chini ya Law firm ya akina msando na aliyekuwa anaisimamia kesi yao anafanya kazi kwa msando ni rafiki yangu nimesoma naye na siku walipolipwa walifanya kiparty.Kwenye show ya 150mil Ay alipata shilingi ngapi kama mgao wake?
hardly 50mil if we become too generous....Now is 50mil make you buy 600,000USD house in Los Angeles California?Maybe through his butt!
Mwanzo ulisema hana ubavu wa kuandaa show za kuwaleta wasanii wa nje saivi unauliza alipata kiasi hahahahaha wewe jamaa world class hater hahahahah