AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY ana bizness zake hapa mjini na kawekeza sana kwenye ardhi toka kitambo ndo maana hata mziki anafanya kitajiri siyo kwamba unamlipa sana alijiandaa mapema sana.
Mkuu zitaje na utoe locations na particulars then sisi tutajua jinsi ya ku-prove!
1.Ardhi tutachungulia ardhi kule
2Makampuni tutachungulia Brela na TRA na benki accounts
3.etc

Taja hizo biashara moja baada ya ingine!

Tutajua jinsi zinavyojenga pesa kiasi kikubwa namna hiyo inayofanya atoe audio ashindwe hata kutoa video ya wimbo wake mpya wa leo!
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
Hata km uongeacho ni kweli ila dah..una chuki kishenzi na AY si ungeongea tu kawaida tungekuelewa?
 
Mkuu zitaje na utoe locations na particulars then sisi tutajua jinsi ya ku-prove!
1.Ardhi tutachungulia ardhi kule
2Makampuni tutachungulia Brela na TRA na benki accounts
3.etc

Taja hizo biashara moja baada ya ingine!

Tutajua jinsi zinavyojenga pesa kiasi kikubwa namna hiyo inayofanya atoe audio ashindwe hata kutoa video ya wimbo wake mpya wa leo!
Wamelipwa na tigo yeye na mwana FA hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa ana ela na baada ya hapo ndo akaenda Marekani
 
Wyatt Mathewson
Chek akiandaa show anacholipwa
Screenshot_20181128-192331_Twitter.jpg
 
Achana na hearsay kama umpo kwenye field ebu fatilia vizuri, wale sio watu wa show off kama wasanii wengine

Mkuu

AY anapenda show off kama wengine,sema wengine wanamzidi kwenye sector ya creativity ya hizo show off,ni kuzidiana tu,ila anapenda sana!

Pili ni vizuri mkataja hizo biashara zake hapa kwa majina hasa then sisi tutajua jinsi ya ku-prove kama kweli zinapesa hizo au na yeye ni mmiliki kweli.

Tatu,kwanini hii kiki imetoka leo aliyotoa wimbo wa SAFARI na sio wiki iliyopita?Kumbuka katoa kiki ya kumiliki vitu ambavyo HANA!AY kawa low kiasi hiki cha Hamorapa?

Twende,A to Z,taja biashara zake moja baada ya ingine kwa majina na locations then tuwa-debunk hapa hapa kweupee!

Pia tunaomba location ya hiyo property ndani ya LA ili tuwawekee hapa owner halisi wa hiyo property!
 
Mbona hiyo nyumba alishawai kupost kitambo tu ebu angalia post zake za nyuma
 
These are LIES!

He is a lier.....He is just creating this larger than life lies kujenga kiki ili watu wafatilie single aliyotoa ipate usikilizaji!

Huu ni upande wake,Clouds hawajatoa maelezo yao....He is lying left right and centre!

Na ukiangalia kwa makini hiyo Tweet ni piece of PR stunt maana huyo mtu kamuuliza swali ila AY katiririka too much information ambazo hajaulizwa!

Questioner kaandaliwa awe instigator wa maswali ili AY ayajibu kujijengea this larger than life PR stunt hapo!

In a normal tweeter life,hakuna mtu angeweza kuuliza maswali kama hayo kwa mtu kama AY in such a way mzee!

AY is not hot anymore,who cares to ask those made up questions?Who cares?

Ukiangalia kwa makini kabisa hayo maswali ni staged na majibu ya AY ni pre-meditated kabisa!

Anajua wazi clouds does not have time to refute those claims hivyo anakunya anavyotaka na kwenye hiyo industry yao they know each other well,they can not debunk him coz wanatunziana siri za kiki!
 
Mbona hiyo nyumba alishawai kupost kitambo tu ebu angalia post zake za nyuma

Mkuu

Naweza kuweka picha yoyote nayojisikia....Mzee aweke address au cooridinates za hiyo property location then tumfumulie owner wa hiyo property hapa live!
 
Huu mtanange umetulia...
vijana dondosheni ushahidi wa biashara ya mwana, mwana avalidate..!
 
Nilimwambia jamaa mchizi alikuwa part of crew ya kuandaa event jamaa kawaka hapa sana hahahahah chuki hizi jamani

Haya muhusika kajibu hapo aangalie vizuri
Alichoandika

Jamaa huyu Wyatt ana chuki sana

Halafu Wyatt si ndo yule fala kwa alie uliwa na Alex mahone kwenye prison break mwanzo alikuwa mbabe sana mwisho akafa kifala sana heheheheheh
 
Kwenye show ya 150mil Ay alipata shilingi ngapi kama mgao wake?

hardly 50mil if we become too generous....Now is 50mil make you buy 600,000USD house in Los Angeles California?Maybe through his butt!
 
Kwenye show ya 150mil Ay alipata shilingi ngapi kama mgao wake?

hardly 50mil if we become too generous....Now is 50mil make you buy 600,000USD house in Los Angeles California?Maybe through his butt!
Mwanzo ulisema hana ubavu wa kuandaa show za kuwaleta wasanii wa nje saivi unauliza alipata kiasi hahahahaha wewe jamaa world class hater hahahahah
 
Kwenye show ya 150mil Ay alipata shilingi ngapi kama mgao wake?

hardly 50mil if we become too generous....Now is 50mil make you buy 600,000USD house in Los Angeles California?Maybe through his butt!
Jamaa walilipwa ela na tigo ndo habari za kuhamia marekani na kununua nyumba zikasambaa, nina hakika na hili kwakuwa kesi yao ilikuwa chini ya Law firm ya akina msando na aliyekuwa anaisimamia kesi yao anafanya kazi kwa msando ni rafiki yangu nimesoma naye na siku walipolipwa walifanya kiparty.
Nyumba anaweza kuwa kanunua chini ya hiyo bei mbona check hapa zipo za bei nusu ya hapo
Propy - Buy or sell investment properties
 
Mwanzo ulisema hana ubavu wa kuandaa show za kuwaleta wasanii wa nje saivi unauliza alipata kiasi hahahahaha wewe jamaa world class hater hahahahah

Najaribu kwenda na nyie hizo claim zenu,na hesabu tu zinawakataa!

AY hawezi wafundisha CLouds how to book international artists!Thats true!

Hao artists wote waliletwa na Clouds officially.....

Sasa yeye kama alikua na ubavu that much wangekuja kwa jina la kampuni yake....He hasnt!

Na kama alishirikishwa in some capacity,alikua ni kama kijakazi wa giant Clouds..AY ni merely pawn in that whole business!

Alikua anatumwa,anakua bossed around like any other motherfucker!

Na kwenye hiyo 150mil,AY hesabu yake itakua ni kusikitisha sana ukitilia maana reputation ya Clouds kulalia watu...

Hebu acheni kabisa kuzusha vitu ambavyo AY hana capacity navyo,tunazidi kumuona desperate na more stupid!
 
Back
Top Bottom