Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech (corrected: Ifunda Tech) anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!