Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Una ushahidi gani weka mezani tuuone
Ungekuwa msanii,magazeti ya udaku yangekuandama kwa kuandika big stori yako kuwa una bifu nae,Broker?
Niggaz,are you high?
AY has never been connected like Diamond is....na kua broker,what do you really mean?
Unajua how to book an international artist for a show or collaboration?Unajua process?
Na hiyo process inapitia kwa AY?Are you thinking using you butt or your head?
You people are in drugs!
Sasa mnakataa nini? Time will say. Tunapenda vijana wanaojituma kazi though kaacha binti zetu kaenda oa kyasaka.
Ngoja Trump amsikie, American Embassy mkuje huku kuna illegal aliens
Mkuu,nyumba wanasema kanunua Los Angeles United State of America na sio Oklahoma au Oregon huko madongo kuinama!
Nataka tuelewane hapa!
Uongo ni kitu kibaya sana....
Kama mpo true sana,toeni address ya hiyo property tuwaletee ownership yake hapa tumalize utata!
Kiki za kisenge sana hizi,na zinamfanya AY aonekana hana tofauti na Hamorapa hata chembe!
Ungekuwa msanii,magazeti ya udaku yangekuandama kwa kuandika big stori yako kuwa una bifu nae,
Lakini kwa vile na wewe ni mpuliza moto mafigani, hutakuwa na jipya.
Mpaka unatukana inaelekea umepaniki na kama umeumia sana hivi, kwanini?
Huwezi jua kipato cha mtu ndugu yangu.
You Sound like W. J. Malecela
Mkuu natumia simu ya tochi, ningekuwekea LINK. Usiamini 100% kila unachokiona.Clouds wamewaleta wasanii wakubwa kutoka Marekani miaka yoooote kipindi hicho huyo SK yuko anasoma secondary forest hill moro huko
Ije kua kwa bwana mdogo davido wa hapo Naija ndio wapate connection kupitia kwa SK.
IMPOSSIBLE
Ali anakaa kwenye kiwanja cha ngapi kwa ngapi?Kama Kiranga anamiliki mjengo huko Amerika,kwanini Eiwai ashindwe?
Kwasababu bilionea Dayamondi anaishi kwenye kiwanja cha 25x25 Madale basi mnafikiri Eiwai hawezi kununua mjengo Amerika?
Cc
King Kong III
Hapo ndo tunakinzana umesema ni mwongo, ok we want to known exactly where lies is ?Sina bifu nae as an Individual..
He is a very good rapper...I like his music..
Ila kutoka public na kuanza KUDANGANYA umma hapo ndio kaniboa kabisa!
Kama mziki umemshinda yanini na kiki za kusema UONGO namna hii kama Hamorapa?
Kibaya zaidi he is very old for these types of stupid games,hizi ni size ya Hamorapa not him...It makes him really look stupid below retard line!
Wala sina shida hizo mkuuMbona povu sana mkuu au maisha yamebana ukaamua upumue kupitia thread hii ambayo kimsingi haikuhusu hahahaha
Iwe kweli au uongo kwanini unateseka?Nyumba au apartment?
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!
Chezea Tutsi ni high maintenance women...
AY na jumba United States of America wapi na wapi?
Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?
Kiki za kizamani sana hizi!
Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Swali dogo tu, kama mie na wewe tunafanya kazi na tukapata kiwango kimoja cha mshahara je wewe ukiamua kwenda kuunywea mshahara wako bia na kufanyia ufuska ni lazima namimi nifanye hayo hayo kwa kutumia mshahara wangu? What if nikiamua niakutoe sadaka kanisani kuna makosa?This is a LIE!
Tupe case number hapa,mengine tutacheck wenyewe!
Iweje walipwe wote,AY ndio atakate kwa show offs nyingi na mbwembwe nyingi sana ila FA na Msando wanakula vumbi?
Why,why,why?
FA anakula vumbi,Msando na sifa zake zote anakula vumbi,eti ghafla bin vuu AY ndie tajiri?
GTFOH!
Hapo ndo tunakinzana umesema ni mwongo, ok we want to known exactly where lies is ?
Unaweza kuniambia kufika na kuyasema hayo medulla oblongata yake haifanyi kazi?
Na je we unajuaje kuwa ni mwongo?
Iwe kweli au uongo kwanini unateseka?
Swali dogo tu, kama mie na wewe tunafanya kazi na tukapata kiwango kimoja cha mshahara je wewe ukiamua kwenda kuunywea mshahara wako bia na kufanyia ufuska ni lazima namimi nifanye hayo hayo kwa kutumia mshahara wangu? What if nikiamua niakutoe sadaka kanisani kuna makosa?
Yaan sikuwahi kujua kama haters wana exist untill nilipousoma huu uzi, duuh jamaa ana mchukia mtu for no reason, maana muhusika kasema vile wewe unampinga weka basi ukweli wako huweki umekazana tu muongo muongo,
Nawaza mpaka ikifika 2025 tutakavyokua tunapishana na watu wanaongea peke yao na kurusha ngumi barabarani.