AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Video: Maamuzi ya rufaa ya Tigo dhidi ya hukumu ya kuwalipa AY na FA bilioni 2.18 kutolewa June 27 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Hii tu inaprove jamaa got enough cash to push around
 

Hii hela bado hawajalipwa!!!!

Kama vipi tupe hukumu ya rufaa tuione hapa maana ni public document!

Hesabu za 2.18Billion tulishapiga tukaona kabisa AY hawezipata hela zaidi ya 500million kama mgao wake!

Sasa,hivi 500milioni hua inaweza kununua nyumba ya 1.5Bilioni?

Ni watu wenye mapepo tu wanawezasema hivi!

Mkuu,tunajua katoa wimbo jana,anakazia promo,nothing more:

 

Siwezijua mishe zake,ni sawa lakini hesabu hua hazidanganyi!

Ni kama uniambie AY yupo maji ya mto Wami anavua papa,wakati mto Wami papa hawezi kuwepo hata dunia ibadilikeje!

Papa anapatikana baharini tu na sio Wami!

Ni upuuzi ulioje kusema kitu kama AY anamiliki utajiri wa 75Bilion USD wakati uchumi mzima wa TZ kama nchi una GDP ya 52.06Bilion USD!Sasa sijui AY angekua anakaa TZ ipi hasa!

Hii ni oxymoron!
 
Boss your still hatinv unless you wanna tell us you got 1 billion ha ging around ur crib

Forgot about Tigo deal hivi unajua how kipindi cha mkasi kilivyokua succesful na kupata matangazo kibao refer to waliokua wanakidhamini na mfumo wa uendeshaji vipindi Tv za Tanzania

AMBWENE YESSAYA :Msanii anayemiliki kipindi cha Mkasi Hata swala la kupewa ela ya kuleta wasanii bongo jamaa kitambo ana kampuni za ku,eta wasanii Tanzania doesnt matter how connected CmG wapo na wasanii wa nje bro alipata piece of a pie

AY awapa shavu wawili Unity Entertainment | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Tusiwage matomaso sana mda mwengine tujifunze kuapriciate bila hating
 

Blah blah blah

Kipindi cha Mkasi kilikua successful sana and wara wara wara nyiingi...

Kilikua na pesa nyingi sana..then how did it die?

It DIED goddamnit!

If you are a businessman,can you explain that to me?

Do you realize how clueless you are sounding?
 
Ardhi ya ukubwa gani?
Au ndio yale yake! Msanii kajenga Ktk 20x25 plot..... Kelele kila kukicha!
Wabongo wengi tumezoa uongo hizi ni Kiki za pikipiki. Kuwa na ardhi mtwara haikufanyi wewe kuwa tajiri overnight
 
Ah ah bro just watch out we jamaa lazima utakuja kua mchawi uzeeni all good things have to come to an end kikubwa did you make money out of it...kwanini fresh prince of bell air,hanging with mr cooper,tausi,vioja mahakamani died... bro kama upo nje chill na kubeba box come back home dude there are still a lot of opportunity hapa...or cheki hiyo

Tv shows binafsi zinawalipaje wahusika? - JamiiForums
 

Hiyo ni hofu yako tu!

Mimi nimejaribu walao kumpa benefit of the doubt kwamba,well unawezakua nayo,then show me!

Hakuna contradictions zozote...nipo consistent all through kuhusu hili swala...

Shida ni mtu anaamua kukuna pumbu zake na kujiamulia kusema chochote bila kua na basis za ukweli halafu ategemee watu wote tukubali..Thats stupidity I refused to be part of!

Until then,as of now,ni UONGO mtakatifu!
 



Una maana kina Masanja na AY wana hivyo vigezo au sio?
 
Mponjoli huyu mchizi namskia kitambo sana tangu enzi za Sugu kipindi hicho anajiita 2Proud kuna wimbo kamrusha sana unaitwa " stori" hahahaha.....real Nigga get money from a f*ckin start itamke kwa sauti ya Mnyamwezi Rick Ross
 
Mshkaji ni kama walicross path na A Y then anaona mwenzie anatoboa au maybe kakaa sana mbele kabeba box sasa anamind kuona mbongo anamzidi all in all wabongo tupunguze U-KAA sio lazima kuvutana chini mda wote
Lol, me naona AY angetafutwa wakae chini na mshikaji wamalize tofauti zao maana duuh
 
Ah ah bro wpjust watch out we jamaa lazima utakukuja kua mchawi uzeeni al, good things have to come to an end kikubwa did you make monwy out of it.

Naona umeamua kua prophet wa kujua future za watu...Wacha wee!

The show DIED!...You can not explain that to me bro...Nothing!

kwanini fresh prince of bell airmhanging with mr cooper,tausi,vioja mahakamani died

Zilikufa baada ya grossing turnovers zilipoanza kushuka!Thats true!

Turnoever zikianza kushuka hua shows zinakua discontinued,hakuna sababu zingine!

Kama unaweka hoja hiyo,how do you explain series zinazo-run non stop for decades such as :

-The Simpsons (1989-Present)
-Guarding Light..Imerun for 57years consecutively
-The Bold and The Beutiful..Ilianza mwaka 1987-Present
-etc


These are the best all time and longest running shows,unasemaje kwa scenerio yako hiyo uliyotoa isiyokua na mashiko kabisa???
 
Haya bhana japo swali la kule juu hujalijibu, ila niombe kitu kama unataka uthibitisho basi wasiliana na AY ila kuwaomba wadau Address hapa ni kuwaonea tu.

Karibu lunch tho.[emoji4]
 
Teh teh jamaa bana unakuja na approximations zako na kutuita wapumbavu.Mpumbavu ameshaonekana.Kiranga kakwambia kafanya kazi na kina AZ teh teh,baba kama una njaa kama mimi hapa Tanzania na uko Marekani kaza buti tu tutashinda...tuwe majasiri tu kuna kuuza unga/kuwa jambazi/kusafirisha pembe za ndovu e.t.c teh teh teh hebu kadiria na hii huleta kiasi gani cha pesa...[emoji3] [emoji3] [emoji23]
 
View attachment 950199

Una maana kina Masanja na AY wana hivyo vigezo au sio?
Nilikuwa nakuonyesha habari ya pesa kwanza,hayo ya mortgage mi sio mwongo sijui,bu lazima kuna njia nyingine,kwani matajiri wote wanaonunua majengo Marekani ni wakazi wa hapo?
Kumbe unaweza kukaa Marekani ukawa mduanzi kama mimi wa hapa hapa teh teh teh
 

Acha hearsay,refute my analysis hapo kama unaweza!

Hujaelewa comment ya Kiranga vizuri nadhani....Jikaze umuelewe vizuri kabisa!

Thats poor part on your side,not us!

---------------------

Nyumba ya jamaa yako ni proven sio yake hata kwa analysis ndogo tu kwenye hii picha!

Kuna watoto wadogo I guess hapo mlangoni wawili,wamevaa vests(relaxing wear) nyeupe,hapo inaelekea ni kwao...AY ana watoto kwanza?Hana!

Alienda nao USA kwenye hiyo safari yake,jibu ni nooooo!

Kati ya hao watoto hapo mlangoni na AY na mkewe waliosimama hapo,inaoesha wazi wamiliki/wanaokaa hapo ni hao na akina AY ni wageni/strangers tu wamepiga picha!

Photos dont lie!

Thats my analysis,hutaki andamana!

Au lete yako tuone logics zake!

 
Nyumba sio hii nadhani, hii ni attachment kupamba habari
 
Nyumba sio hii nadhani, hii ni attachment kupamba habari

Leo mnaikataa nyumba yenu?

Hahahaaaaaa,maajabu aiseee!

AY na mkewe wamesimama hapo cluelessly kama strangers na vipochi vyao makwapani eti ndio nyumba yao!!!

What a LIE!

Kadanganyeni watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…