Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Kwahiyo unataka kusema kuwa wasanii wote kutoka USA wameletwa na CMG?
hata kama una hulka ya kubisha si kila kitu cha kubisha, wapo wasanii kibao from states wamekuja nje ya kivuli cha CMD km maya, jayz na beyonce, omarion, EVE, justin timberlake nk
Pia kusema aliandaa show akalipwa 150m+ si lazima iwe show 1,huenda alipiga shows kama 10 hi with 15m per show, halafu kumbuka AY ndiye msanii wa kwanza tangu bongo flava ianze mwishoni mwa miaka ya 90 kufanya shows nje na collaboration na international artists, tuache ushabiki maandazi na wivu wa mke mwenza
Mayarajio yangu ungewapinga kwa ushahidi badala yake unawapunga kibishi tu bila ya ushahidi halafu umawashinikiza watu hao wanaojadili mada walete ushahidi. Logic ni ndogo tu hapa to cut it all short ungemwaga ushahidi wako tu.
Kwa level ya kibongo bongo hiyo aliyopiga nayo picha ni nyumba au Jumba mkuu??Kununua nyumba USA unaona ni miujiza au nini,labda jumba lakini nyumba wabongo wengi tu wanazo USA,UK,CANADA.
Kumbe Ngabu ni house 🏡 boy hukoSio kla anae kaa marekani ana jua kila kitu wengine ma house boy tu huko
Basic Human psychology tu,unaelewa kwamba huyu jamaa ana point ila uwasilishaji wake anaonekana kuna inner force inam drive kuongea hivyo,kuna viashiria vya chuki fulani hivi.Hata km uongeacho ni kweli ila dah..una chuki kishenzi na AY si ungeongea tu kawaida tungekuelewa?
Mzee,uliona list aliyoitoa au unaongea tu?Katoa list ya artists walioletwa na CMG!
Na kumbuka tunamuongelea AY..taja alioleta AY kama list unayo!
First off,I think you are lying on something here...Hivi Justin Timberlake has ever touched ardhi ya Tanzania hii kweli?
Clear uongo wa Justin Timberlake,then tuendelee maana yaelekea una emit maneno tu kama bomba la maji!
Kumbe hata hufatilii mzee baba, jaribu kufatilia utajua kama alikuja au hakuja, wabongo mnabisha vitu bila data halafu mnajikuta wajuaji kumbe vimeo tuu, ndio tatizo la kubishana na vijana wa maskani
Hapa umeondoa utataNani amekwambia ni Illegal allien?Mke wake ana uraia pacha[Dual Citizenship]kati ya Rwanda na U.S.A.So AY baada ya kumuoa huyo demu ilibidi amuombee visa ya ndoa (spouse greencard]ya kuishi marekani permanently.Kwa maana hiyo A.Y ni mkazi wa kudumu wa Marekani.Sasa atapata haki zote kama raia wa Marekani isipokuwa kugombea nafasi za kisiasa au kupata nyadhifa kubwa serikalini.Ndio maana amesema siku zijazo atahamia marekani mazima.
Jamaa anajicho la mbali.Yupo kimkakati zaidi.
Acha fix wewe..kwani Beyonce na jayz walifanya show?
Timberlake alikuja 2012 honeymoon..tena alitua KIA akaenda Arusha Singita Grumeti Hotel..akatoka,akarudi KIA akarudi zake kwao..
Hajaletwa na kenge yeyote,wala hakuja kuimba kwa kima yeyote...Uwe mkweli wewe mtu...
The link is here : JUSTIN TIMBERLAKE, JESSICA BIEL HONEYMOON IN TANZANIA
Acha fix wewe..
Timberlake alikuja 2012 honeymoon..tena alitua KIA akaenda Arusha Singita Grumeti Hotel..akatoka,akarudi KIA akarudi zake kwao..
Hajaletwa na kenge yeyote,wala hakuja kuimba kwa kima yeyote...Uwe mkweli wewe mtu...
The link is here : JUSTIN TIMBERLAKE, JESSICA BIEL HONEYMOON IN TANZANIA
Ww si ulibisha kuwa hajawahi kuja tz
Unafeli...
Kuja mbugani ndio waliletwa na Clouds kucheza miziki majukwaani?
Uwe unaacha uongo bwana....
Justine Timberlake na Fiesta wapi na wapi wewe kama sio unatuletea ndoto za mchana?
Kwahiyo unataka kusema kuwa wasanii wote kutoka USA wameletwa na CMG? hata kama una hulka ya kubisha si kila kitu cha kubisha, wapo wasanii kibao from states wamekuja nje ya kivuli cha CMD km maya, jayz na beyonce, omarion, EVE, justin timberlake nk
Pia kusema aliandaa show akalipwa 150m+ si lazima iwe show 1,huenda alipiga shows kama 10 hi with 15m per show, halafu kumbuka AY ndiye msanii wa kwanza tangu bongo flava ianze mwishoni mwa miaka ya 90 kufanya shows nje na collaboration na international artists, tuache ushabiki maandazi na wivu wa mke mwenza
Jamaa ni drug dealer mkubwa Sana. Mungu awanusuru vijana wetuHongera zimfike huyu jamaa ... huwa hapendi kuwa na Sifa za kijinga jinga
Inawezekana anamiliki kweli maana jamaa Nasikia ni drug dealerNyumba au apartment?
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!
Chezea Tutsi ni high maintenance women...
AY na jumba United States of America wapi na wapi?
Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?
Kiki za kizamani sana hizi!
Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!