AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Apart from that jamaa anahusika kwenye kuharibu nguvu kazi ya taifa kwa madawa ya kulevya
 
Jamaa anahusishwa Sana na issue za madawa ya kulevya na ikasemekana na dealer mkubwa sana
 
Mtamuamuamusha hater mmoja humu ligi ianze upya
 
Wapi niliposema kaletwa kwenye Fiesta, kabla hujacomment au kureply comment ya mtu hakikisha unasoma na kuielewa sio kujiandikia ulivyoelewa wewe na ujinga wako.... Rudia comment yangu kwanza acha unaaaaa

Unapoongea usidhani kila mtu ni mpumbavu!

Kuna kitu kinaitwa context!

Ulipokua unaongelewa wanamziki uliotaja wote ni seti ya walioletwa na CMG kwenye Fiesta zao mbalimbali,kasoro Justine Timberlake tu ndio uliingiza UONGO!

Sasa sijui ulimtaja Justine Timberlake ili iweje?Kweli ile set illegal member ni Justine Timberlake,na ulimuweka sababu ya tabia yako ya uongo,basi!Yaani unadanganya just for the sake of it!Huu ugonjwa,you need professional help!
 
[emoji23][emoji23]
 
Duh,nauli ya marekani hiyo si angekomboa nyumba yake
 
Sasa hivi AY jumlisha MwanaFA jumlisha Harmy B jumlisha P Funk,wote put together wauze ass kwa miaka 10 non stop they will NEVER pull this amount of cash!!

Mnh...Kaka kuna namna ya kupinga kupata ukweli ila we hupingi tu bali UNAPAMBANA!! Wanaosema una chuki binafsi wanaweza kuwa na hoja.

Maana taarifa ni UPLIFTING hata kama ni uongo, not such a big deal UPAMBANE kiasi hicho hadi kumtukana huyo AY!!

Labda AY alifanya deal ya unga akapata hizo hela...ulitaka PROOF? Kuna matajiri wangapi bongo ambao vipato vyao kulinganisha na matumizi haviendani!?

Labda AY hakulipia hela yote ya kununua hiyo nyumba - analipa taratibu! Labda kapata msaada kiasi fulani toka kwa rafiki, wakwe zake....!

Scenario ziko kadhaa. Na PROOF ni ngumu, unless mwenyewe AY afunguke zaidi!

Uzi huu huu ukiibuliwa tena miaka 2/3 ijayo PROOF labda itakuwa imepatikana.

Ukisoma kwa karibu, inaonekana wengi wanataka kuwa UPLIFTED na hii habari, hata kama ni "Ndoto za Alinacha"!.

Basi tuseme tu habari ni UPLIFTING, subject to possible PROOF in due course....
 
Maana taarifa ni UPLIFTING hata kama ni uongo, not such a big deal UPAMBANE kiasi hicho hadi kumtukana huyo AY!!

kwavile ni uplifting una ruhusa ya kudanganya?

hivi binadamu anapata wapi justification ya kuhalalisha uongo?

hiyo amount of money mkuu hesabu hazikubali hata iweje..tumefanya hapa pamoja zimekataa!

huwezi lazimisha sisimizi kunya kama tembo,it will never work!

kuuza unga mkuu hiyo scenerio si kweli!

najua ni showbiz kuna kunadanganya na ku-overrate vitu kujenga persona..ila penye uongo tuseme!
 
Hivi kumbe gesi ya Mtwara ipo!
 
mkuu unaweza ukawa una point ila usicheze na clouds media group boss. ruge mutahaba na mwenzake kusaga..

ruge ameishi sana usa na amesoma bachelor degree marekani san diego state university.. analipiwa ada na baba yake prof mutahaba..

kusaga amepiga sana disco enzi zile na ruge ndie anaeleta santuri za nyimbo kutoka usa.. na hata kusaga katembea sana majuu toka kitambo kwa pesa za mzee kusaga... hawa ni wajanja long time agoo.... ay hapo hapajui hata dar.. hawa jamaa wanatembea majuu

ruge na kusaga ni wajanja kitambo toka ay anaimba imba na kina g.k sijui mwana fa. kina ruge washatembea sana.. na hata ay kanyonywa sana na ruge kwa show za laki mbili mbili. hana ujanja ay wa kumzidi ruge

hakuna msanii wa nje alieletwa na a.y wasanii wa nje wameletwa na clouds media group na wajanja ruge na kusaga..

a.y ni kama binti tu mbele ya hivi vichwa viwili..
a.y hana ujanja wa kumzidi ruge


 
Unaishi Kwenye Chumba Cha Kupanga Mwananyamala Kisiwani Umetoka Kugombana Na Mwenye Nyumba Kuhusu Kodi, Unaingia Jf Unakutana Na Thread Ya Ay Amenunua Nyumba Marekani Lazima Upagawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…