AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Sampuli za Jiwe hizi.

.Poverty mentality
.No facts

Pumbaf*

It is very very bad mtu kutumia UONGO kujitafutia kick za namna hii!

Na uongo kama huu unapohusishwa na mtu kama AY,inaonesha how stupid he is!

Why can't people be honest?

The median home value in Los Angeles is $682,600!Uniambie kuna shows ngapi AY kafanya tangu anaanza mziki 2003 mpaka leo kapata hiyo hela?

Biashara gani za AY proven,zenye records na muweke evidences hapa.Na sio maneno ya mdomoni tu.

Lies spotted ni hizi:

1.AY kulipwa show moja milioni 150
2.AY kuwaleta wasanii wa USA nchini Tanzania (anaejua process ya CMG kuleta wasanii wa marekani nchini anaweza kuweka ukweli hapa maana Eve,Fat Joe,50 cents,Busta Rhymes,Ricky Ross,etc wote waliletwa na CMG,na AY can not teach Clouds on anything about this)
3.etc

All these are pure lies!
 
Asavari ahamie tu huko Duniani kuliko kukaa hapa Tz usawa huu wa Mzee Baba wasanii wanathaminiwa wakati wa kampeni na kuvaa mavazi ya kijani na kuzunguka nchi nzima kupiga promo halafu uchaguzi ukiisha wanaishi kama mashetani!
 
Jifunze kusoma uelewe na upinge ukiwa na ushahidi. ALIANDAA SHOO.... nathani unaelewa hapo
Show ipi?Taja jina la show,eneo,dates na utaje headline artists waliokuja...Kama hautashikwa na uongo wako hapa hapa!

Ukweli wako ni upi na uongo wake ni upi
Mkuu naomba uulize kwa umakini kabisa CMG process inayotumika ku-book American International Artist!

AY is a mere local artist.He can not help Clouds on any capacity on how to book these international artists mzee....Muachege uongo nyie dickriders!
 
AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Mwanamke huyo wa Kinyarwanda hawezi kumshinda nguvu kwani na yeye ni wa huko huko, mama yake ni myarwanda aliyeolewa na msokile mmoja akiitwa Yesaya Mwakipagema!!!

Huyu kijana hana ubavu wa kumiliki huo mjengo huko USA alipiga nao picha tu; hapo Kigamboni tu aliweka rehani nyumba yake benki mpaka sasa ameshindwa kulipa deni na bila shaka itapigwa mnada!!
 
Mwanamke huyo wa Kinyarwanda hawezi kumshinda nguvu kwani na yeye ni wa huko huko, mama yake ni myarwanda aliyeolewa na msokile mmoja akiitwa Yesaya Mwakipagema!!!
Nadhani upo sahihi..Nadhani jamaa amechanganya wazazi mmoja Mbongo na mwingine Mnyarwanda......

Kushindwana sidhani,ila jamaa haitakiwi kuzubaa zubaa kama yupo na Mmbongo wa kawaida.Yule dada yaelekea ni wa gharama fulani,sio cheap cheap!

Huyu kijana hana ubavu wa kumiliki huo mjengo huko USA alipiga nao picha tu; hapo Kigamboni tu aliweka rehani nyumba yake benki mpaka sasa ameshindwa kulipa deni na bila shaka itapigwa mnada!!
Kinachoboa mkuu ni hizi kiki za kizamani za kusema uongo ili u-trend!Kwa mzee kama AY kujenga kiki kama hizi zinafanya aonekane more than stupid!

Nadhani AY katoa wimbo ndio anajaribia kuujengea buzz za kiduwanzi namna hii,of which anadhani bado wabongo ni maduwanzi kama 2015 au 2016!

That stupid formula worked that time,sio kwamba itafanya kazi always....This guy has to leave cheap kiki kama hizi kwa watoto!
 
Hivi mtu anaweza tu kuamua kuishi ughaibuni bila documents?au anaenda kuzamia,?duu watu wana michongo manake mpk anunue na nyumba bs yuko vzr au mwenzetu alizaliwa huko so ana ma living permit n.k,all the best kwake.
 
Kununua nyumba USA unaona ni miujiza au nini,labda jumba lakini nyumba wabongo wengi tu wanazo USA,UK,CANADA.
 
Ulizia vizuri, afu uje urekebishe ulichosema
 
Daaah we mchizi una chuki na AY hahahahahahah

Kwanza AY hajasoma Iyunga tech amesoma Ifunda tech hapo iringa .

Pia hajawahi lipwa kwa kupiga shoo Bali alihusika kuandaa shoo yaani kama crew wa promotion .

Jamaa na biashara za boti (mini yatchs)huko mbudya via slipway na kule boti inakodi hadi 2000$ so just imagine jamaa anapiga ngapi .

Ndio maana hakimbizani na muziki sana siku hizi wala kupandishwa Costa za fiesta so usimchukulie poa jamaa .
 
Ulizia vizuri, afu uje urekebishe ulichosema

Mkuu

Kwa rule of thumb tu kwa jinsi wanapenda sifa hawa watu ungekuta zishawekwa habari kwenye media au hata instagram!

Judgement ni kitu cha wazi,na mahakamani waandishi wa habari wanashinda pale..Na hii ilikua ni high profile case including entertainers,ni juicy news hawawezi ziacha hizi habari!

Another strong point ni kuhusu wasanii wengine,wangekimbia kufungua na wao haya makesi,Tigo wangehama nchi eti!Tigo walitumia nyimbo za wasanii wote kabisa,sema AY na MwanaFA na kile kijamaa wakaamua ku-press charges walijua kuna hela watavuna!

Last time I heard kwenye news ni kua Tigo walikata rufaa!...

Tuseme labda wali-settle out of court,na kumbuka walikua watatu,AY,MwanaFA na Msando...

Na pesa waliyokua wanategemea ni nearly 3 Bilion kama wangeshinda kesi....

Katika settling out of court watakubalia hela ndogo zaidi ya hiyo,lets say 2Bilion..

Wakilipwa ukitoa gharama za kesi,gharama za ma-producers,publishers,etc inaweza baki 1.5Bilion wakagawana 0.5Bilion each....

Haya sasa,kwa milion 500 AY anaweza nunua nyumba ya USD 600,000 katika jiji la Los Angeles USA kweli kama sio uongo mtakatifu huu?
 
Ile hela walichukua....
through guarnishee order...
 
Halafu uwe unafatilia vizuri yule manzi yuko na mchiz for 10 fvcking years since huyo sista sura imechakaa na kufubaa

Zile picha za insta za juzi kati ang'aa ng'aa mpaka wewe unaona yle demu expensive jua hela za mshkaji zile

Yule demu baba yake ni mbongo mwenye asili ya uarabu mama yake ndio mnyarwanda .

So acha chuki na maisha ya jamaa

Nenda Rwanda kafate wa kwako wako kibao wazuri na wanavyoshoboka na wabongo mbona easy kuwapata coz nchi yao yenye INA amani ya kimlegezo muda wowote kinanuka so for security purpose hehehehe huwezi kosa mnyarwanda wako
 
Braza... Inatosha kwa sasa.
 
Kwanini ashidwe mkuu!!,Mimi 0.5 billion kwa mwaka inazaa 2.0 billions why not him?
 
Daaah we mchizi una chuki na AY hahahahahahah

Kwanza AY hajasoma Iyunga tech amesoma Ifunda tech hapo iringa .

Sina chuki nae,mimi na-expose uongo wa kitoto sana kuhusu hii stupid kiki!

Ni Ifunda Tech,thats my poor part on my side.Tena alisoma na mwanangu marehemu anaitwa Kulembeka!Go and look it up!

Pia hajawahi lipwa kwa kupiga shoo Bali alihusika kuandaa shoo yaani kama crew wa promotion .

Taja jina la show,dates,location na wahusika....Na brother,member wa event crew anapata 150milioni?Get the f.uck outta here!

Jamaa na biashara za boti (mini yatchs)huko mbudya via slipway na kule boti inakodi hadi 2000$ so just imagine jamaa anapiga ngapi .
Brother Mbudya island kila mtu hapa anaenda,ni boti na wala sio yatchs!

Stop lying!

Boti za Mbudya kwa siku zinakusanya kiasi gani vile?Rubbish.....Even Uber driver racks in more than Mbudya boat will ever make in a day!Hebu dont make people laugh here!

Dola 2,000USD?Man,cant you just stop lying this much!Boat ya Mbudya inakodishwa kwa dola 2,000USD?Aisee it shows how shameful you AY people are!

Ndio maana hakimbizani na muziki sana siku hizi wala kupandishwa Costa za fiesta so usimchukulie poa jamaa .

Hakimbizani na mziki wakati jana katoa single na hii kiki kaitoa ili kujenga buzz na hako ka-single kake!

You think people are stupid?

Na biashara unayosema iliyotoa pesa nyingi sana ni hizo boat za kwenda mbudya zinazonuka samaki na zimetoboka ndio biashara really?

Can you mention anything else?

Wekeni na evidence please!
 
Kwanini ashidwe mkuu!!,Mimi 0.5 billion kwa mwaka inazaa 2.0 billions why not him?

Mkuu 0.5Bil ambayo ni 500milioni kwa lugha ingine inaweza kununua nyumba ya 600,000USD ambayo ni karibu na Bilioni 1.5...Uta-flip hiyo 500mil kwa miezi miwili/mitatu hii kujenga hiyo 1.5Bilion kwa kufanya nini hasa?

Unajua tusiwe tunasema tu inawezekana,how kama sio ndoto wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…