AY akiri kumiliki nyumba Marekani

ACHA UJINGA ACHA UJINGA ACHA UJINGA kumchukia Mwanaume mwenzio anayetafuta kwa jasho lake ni UNAHA na wewe tafuta zako sio kila sehemu unamponda jamaa kama Mungu hajakujalia wewe basi usiwaseme wenye nazo ACHA UJINGA ACHA UJINGA ACHA UJINGA
 
Mbona Rufaa hiyo ilikataliwa na redio zilitangaza na baadhi ya magazeti hata blogs moja utaona hata huyu aliandika
Mahakama Kuu yaamuru Tigo kuwalipa AY, FA Tsh Bilioni 2.1 unless unataka kuendeleza ubishi tu
na thread ya JF hii hapa
AY na Mwana FA washinda rufaa yao dhidi ya Tigo, sasa kulipwa Billioni 2.1 - JamiiForums
 
Hiyo ni apt apartment za watu wengi kukaa, au condo. Aka condominium
 
Haters!!!
Mzee ulivyoshuka na mistari utasema una beef na AY kukugongea dada'ako kisha akamwacha single maza akenda owa mwengine.

Kwa gubu uliloonyesha hapa hata kama mimi dada yako nitakuachia maana hivi wewe mwanaume je dada'ako atakuwaje?
 
We unakitu na AY! Sio bure!!! Unaongea kwa uchungu kama wewe ndio umedanganya
 
Tupe ushahidi wa unayoongea acha blah blah na chuki zisizo na maana. Ww ulikua meneja wake mpk unakataa kiasi alichokua anapata? au ww ni mtu wa karibu yake sana kujua bank account yake ina kiasi gani??
 

Soo much hate.. Kakuchukulia mke/mume?
 
Tigo walimshinda Manji itakuwa AY?
..jamaa wabaya sana wale kwa kesi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ndio wivu wenyewe sasa.
 
Inaelekea una tatizo na AY personally
 
Hapo kwenye million 150 hata Mimi nakataa,Ay alifanya show ya million 150 wapi??? Kiingilio ilikuwa sh.ngap?
 

Unaonekana hata sio mfuatiliaji wa masuala ya burudani, hii story ya AY kumiliki nyumba states imetoka more than 6 or 4 months ago..
 
AY hawezi kununua nyumba Marekani, huo ndiyo ukweli, Marekani siyo sawa na kutoka Kigoma na kuja kununua nyumba Tandika, ni ngumu sana kununua nyumba Marekani

Nyumba ya Ay anayosema kaikodi kwa mkataba na baada ya miaka kadhaa ataiachia nyumba
 
Wewe huna unachojua fatilia AY,FA na Msando nwameshalipwa, hiyo rufani ilitupwa na AY,Fa Wakafungua case ya kutaka maafisa wa tigo na mali zao zikamatwe.... wameshalipwa ndio maana wanaitwa mabilionea..
Nimegundua una chuki na AY maana hiyo nyumba unayosema ana tafutia kiki hakuisema leo na watu hawajaijua leo fatilia alipost imeshapita miezi zaidi ya sita kama si mitano
 
Huyu mbeba box ameamua tu kuwatoa jasho mkuu hapo alipo asisinzie akapitiwa akakosa tender za box...

Ujinga sana mwanaume kukakamaa mishipa ya shingo kisa ku-diss mafanikio ya mwanaume mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…