AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

Safi sana tena kapata Dada mzuri sana

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Nikwel that's true

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sisi tungeita kubariki ndoa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Na kweli.

Ila wahenga walisema "chelewa ufike".

Inawezekana wangeahi kufunga ndoa ya mabobish wasingedumu miaka yote hiyo.

Inawezekana kukaa pamoja miaka yote hiyo bilandoa ya mabobish kumewajenga waweze kujuana na kuelewana vizuri mpaka sasa wakiingia katikandoa wanaingia kwa uhakika fulani.

Kuna mtu alisema watu wakikaa pamoja tu wanakuwa poa, wakija kufunga ndoa za mabobish mengi ndipo matatizo yanapoanza. Inakuwa kama biashara mshafungiana kwa contract kila mtu anajiona ana umiliki heshima inapungua. Kwa baadhi.
 
Miaka 8 jamaa anasafirisha mchanga wa dhahabu nje tu.....

Hawa si wachumba tena ni wahenga...

hatari sana mkuu maana kila nikijaribu kutafakari miaka nane ....dah jamaa ameamua aiseee
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Subira huvutaheri wewe

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona CIO mingi hebu kwnye kujua uchumba wa master j na shaa unamiaka mingapi atuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
wadada wa mjini mmedate 3 weeks tu anaanza kukusumbua awajue wazaz wako fujo kibao
ona hawa 8 yrs mweeere

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanafanya research ya mapenzi

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
mkuu mwalim wako wa hesabu akiona ulichoandika atasikitika mno

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] hpo umeleeweka mkuu itakuwa binti alikuwa bado masomon au anasbr akue kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili apunguze wivu wa kitoto!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…