Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaampaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Nikwel that's trueSasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Na kweli.Sisi tungeita kubariki ndoa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Miaka 8 jamaa anasafirisha mchanga wa dhahabu nje tu.....
Hawa si wachumba tena ni wahenga...
Subira huvutaheri wewempaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
kwanini unaumia???Iknow the lady personally..naumia sana anyways nawatakia Maisha mwema my half rwandan half Arabic Rehema...
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwaMbona CIO mingi hebu kwnye kujua uchumba wa master j na shaa unamiaka mingapi atuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hiz mtu mwaka ukipita hujatoa Posa anakuaachaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Halafu baada ya miezi sita patashika ndani nguo kuchanika..Kuvalishana Pete ya Uchumba ndio fashion siku hizi!
mkuu mwalim wako wa hesabu akiona ulichoandika atasikitika mnoSio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] hpo umeleeweka mkuu itakuwa binti alikuwa bado masomon au anasbr akue kidogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili apunguze wivu wa kitoto!!!Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Ay mnyarwanda mnyakyusa na dem mnyarwandaKitu kama cha kwa Kagame hivi!
Hongera zake ile kambi maarufu ya mabachela inapungua sasa!