princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
ndio[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hiz mtu mwaka ukipita hujatoa Posa anakuaachaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
khaaMimi natafuta mwaka wa saba still bado nina mingine kama mitano mbele
bado , kabla ya hio miaka mi3 mnaweza kubwagana[emoji23] tatizo tabiaLol ... So umeshaoana au ndio bado kila baada ya miaka 3 wanajikataa ....
Hata mimi nilijuwa hivyo kumbe ni washikaji tu.Wapi Salama nilijua anatoka na Ay
SM-G955F Samsung galaxy S8+
Kwakweli, hata hiyo mitatu loh ntakuwa nimejitahidi sana kumvumilia.mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Tufafanulie plzIknow the lady personally..naumia sana anyways nawatakia Maisha mwema my half rwandan half Arabic Rehema...
Kweli kbs.Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Tena anahitaji tuzo haswaaa kwa moyo huo wa chuma.upuuzi mtupu. miaka 8 wanabanduana tu. huyo mwanamke ana moyo kudumu kwenye huo uchumba sugu
Hahahha hadi nimecheka kwa sauti.Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
Hahahaj yalah wahenga tena,mwehMiaka 8 jamaa anasafirisha mchanga wa dhahabu nje tu.....
Hawa si wachumba tena ni wahenga...
Na kweli, shaa ajiongeze tu kabla hajapitwa na umriDuh,hao watakuwa hawana mpango wa kuoana,Master J sidhani kama atamuoa Sha,pale anaosha lungu tu.
Hakika kati ya wasanii wenye vyombo vya uhakika ni Diamond na Ayhahaaaaa eti hajui mwisho wenu
Mchumba wa Ay ni mcute jamani......
Hili nalo neno! Mkiishi tu bila ndoa kila mtu anakuwa na nidhamu maana anaogopa ukileta fyoko mnagawana mbao [emoji3]Na kweli.
Ila wahenga walisema "chelewa ufike".
Inawezekana wangeahi kufunga ndoa ya mabobish wasingedumu miaka yote hiyo.
Inawezekana kukaa pamoja miaka yote hiyo bilandoa ya mabobish kumewajenga waweze kujuana na kuelewana vizuri mpaka sasa wakiingia katikandoa wanaingia kwa uhakika fulani.
Kuna mtu alisema watu wakikaa pamoja tu wanakuwa poa, wakija kufunga ndoa za mabobish mengi ndipo matatizo yanapoanza. Inakuwa kama biashara mshafungiana kwa contract kila mtu anajiona ana umiliki heshima inapungua. Kwa baadhi.