AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

heheheh uchumba sugu,dedication to master jay kokote uliko
 
Hayo ndo mapenzi,wanajuana wamekubaliana,kuachana hao saiv ni Marachache sana.
Cyo siku mbili nikuoe af kesho unaleta mambo mengiiiii na visingizio visivyo na mipaka.

Hongeren sana wadada mjifunze,kwa wenzenu.

Kama mke profesa na mke Wa Ay wamewavumilia sana waume zao.

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Kipya hapo ni magoti kupigwa na bwana ankara au hako ka pete,miaka nane bado sifa zitolewe tu.
Haya ngoja tusifu,hongereni kwa pete na magoti.

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Kwakweli, hata hiyo mitatu loh ntakuwa nimejitahidi sana kumvumilia.
 
Iknow the lady personally..naumia sana anyways nawatakia Maisha mwema my half rwandan half Arabic Rehema...
Tufafanulie plz


Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
Hahahha hadi nimecheka kwa sauti.
 
wanafanana sanaaa

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Na kweli.

Ila wahenga walisema "chelewa ufike".

Inawezekana wangeahi kufunga ndoa ya mabobish wasingedumu miaka yote hiyo.

Inawezekana kukaa pamoja miaka yote hiyo bilandoa ya mabobish kumewajenga waweze kujuana na kuelewana vizuri mpaka sasa wakiingia katikandoa wanaingia kwa uhakika fulani.

Kuna mtu alisema watu wakikaa pamoja tu wanakuwa poa, wakija kufunga ndoa za mabobish mengi ndipo matatizo yanapoanza. Inakuwa kama biashara mshafungiana kwa contract kila mtu anajiona ana umiliki heshima inapungua. Kwa baadhi.
Hili nalo neno! Mkiishi tu bila ndoa kila mtu anakuwa na nidhamu maana anaogopa ukileta fyoko mnagawana mbao [emoji3]

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom