Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hatuwezi jua miladi yao nje ya music labda huwa wanapata a lot of millions katika shughuli zao hakuna anayejua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli huku ni kudhalilisha sarafu yetu. 2 bln hela ndogo waache usanii wa kibwege wasingedai basi au wakipewa wazipeleke vijijini mwao zikatatue kero huko wasio kuwa na maji na kushindia mlo mmojaWapimwe mikojo yao kwa mkemia
Ok, Faiza nimekusoma ni typing error tuu hizo @ Mwl wa kiswahili= miradi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
mbwembwe za kisanii tu hzo..wakiletewa kodi 400m midomo mipana chozi mpaka shavuniAisee kweli maisha hatufanani..wengine hadi tunakufa hatutobahatika kushika hata bilion moja