AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi
Wamesema wao wametoa kama mwongozo kwa wasanii wengine kudai haki zao inawezekana

Wamesema hata wakipokea fedha hizo hutawaona wamepost kwenye mitandao ya kijamii kama wasanii fulani wanavyofanya na kusema wao sio washamba wa kiasi hicho

Pia wamedaisiku hizi hawapo karibu tena kama zamani kwa sababu maisha yao yamebadilika na ukaribu unabadilika pia

 
Back
Top Bottom