AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

hii ndio inaitwa mswahili akipata matako ulia mbwata[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh heri yao wanasema ndogo
 
heri yao wanasema ni ndogo
 
Aisee kweli maisha hatufanani..wengine hadi tunakufa hatutobahatika kushika hata bilion moja
Wamedai wamezikamata sana lakini siyo kuzimiliki, kumbukeni Mwana Falsafa aliwahi kufanya kazi benki. Mimi mwenyewe nimeshika sana mpaka B100, ila Jana nimepigwa faini trafc kwasababu Gari yangu ina matairi kipara na sina mpango Wa kununua leo wala kesho maana fedha imenikalia hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…