JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
“Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili.
“Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto asiufurahie utoto wake, anaweza kufikisha umri wa miaka 18 na akawa hapendi hayo mambo, itafika hatua wazazi wanaweza kuanza kuwachora tatuu watoto wao,” - Ambwene Yessayah ‘AY’, nyota wa Muziki wa Bongo Fleva.
Source: Salama Na