AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

Kwahiyo child benefits uliwawekea kwenye savings?

Hapana serikali ilitoa muongozo tuwafungulie acc na wao wakatuwekea £250 ya kuanzia
Nilikuwa nawawekea kutoka kwenye mshahara direct debit lakini siwezi kuzigusa tena maana sio zangu
Child benefits ni zao kwa matumizi
 
Badala wawafungulie account Nmb au crdb wao wanafungua Facebook kwa watu wasiojua kusoma na kuandika
 
Hizo account za mitandaoni assets kwao. Celebrities wa kibongo ndio wanajua hindi gani hizo account zinawanufaisha wao. Mzazi anapokuwa maarufu anawezamrithisha mwanae umaarufu kabla umaarufu wa mzazi haujafifia.

Baadaye mtoto akijitambua account inakuwa ni maarufu. Mjue tu kuwa account za mitandao zinaweza kumuingizA mtu fedha ambazo wengi wetu hatuna taarifa nazo
 
Hakika amenena vyema, n wachache watakaomuelewa........
 
Sio kila kitu tuwe serious,huwa nafaidi account za watoto mbali mbali wa kibongo,panaponichekesha tu ni pale mama zao wanapojipost humo na kuanza kujisifia sifia kisha wanarudi kwenye accounts zao wana like na kucomment eti awwwii my baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbna umejitekenya mwenyewe af umecheka mwenyewe?
 
Wapumbavu zaidi ni watanzania wanaofollow na ku comment kwenye hizo page.... pathetic!!
 
Hizo account za mitandaoni assets kwao. Celebrities wa kibongo ndio wanajua hindi gani hizo account zinawanufaisha wao. Mzazi anapokuwa maarufu anawezamrithisha mwanae umaarufu kabla umaarufu wa mzazi haujafifia.

Baadaye mtoto akijitambua account inakuwa ni maarufu. Mjue tu kuwa account za mitandao zinaweza kumuingizA mtu fedha ambazo wengi wetu hatuna taarifa nazo
Hivi ni sahihi kumtumia mtoto kama income generating activity?
 
If it's not harmful,yes. Hata hivyo hiyo income kwa ajili ya gharama za kumkuza. Halafu tudili na haki za msingi za mtoto. Chakula,mavazi,makazi,matibabu elimu. Hivyo vijihaki vya kutafutiza piga chini
 
Je, utajuaje kama its not harmful? Mfano tumeona baadhi ya watoto walioingizwa kwenye mitandao wamekua subjected to bullying and the like. Ref. mtoto wa Uwoya
 
Ni jinsi walivyoitriti hiyo account. Magari hupata ajali ila haimaanishi tuache kupanda bali tuwe waangalifu.

Tatizo huwa hawasemi juu ya kiasi gani wanaongoza kupitia hizo account ndio maana twaona ni ujinga.
 
Ila mkuu hata ukiliangalia morally, is it okay kumtumia mtoto wako kama kitegauchumi? Yaani umzae mtoto, halafu umtumie huyo huyo mtoto kuingiza kipato cha kumlea? Sasa hapo wewe kama mzazi jukumu lako la malezi unalihamishia tena kwa mtoto?
 
me siku hizi hata picha sipost tena, hii mitandao imedhihihirisha jinsi watu walivyo wabaya sana. iwe birthday, graduation, mtoto kafanya hiki, sijui sherehe gani sitokuja kupost tena
Ninong'oneze, ulipatwa na maswahibu gani ?
 
Kufungulia akaunti mtoto sio shida, isipokuwa uchizi ni kwenye contents zinazowekwa huko mathalani kama huo mfano aliotaja Ambwene kwamba mzazi ndiye anajipata anaandika vitu kama 'I love you' na kujipa majibu ya 'I love you too mom'
 
Ninong'oneze, ulipatwa na maswahibu gani ?
sio mimi, mtu namfahamu alichafuliwa tu mtandaoni kesi ilienda polisi. pia kama mambo ya app ya yule dada, unajikuta umepostiwa umechafuliwa, watoto inawaathirije huko shuleni na kwingine? mbaya sana. Au bullying ya watoto mwishowe wengine wanajiua! bora kujifungia ndani kula maharage na wanao kila mtu na maisha yake, hamna haja kuonyesha watu, watu wenyewe si watu hata
ngaiwoye
 
Ila mkuu hata ukiliangalia morally, is it okay kumtumia mtoto wako kama kitegauchumi? Yaani umzae mtoto, halafu umtumie huyo huyo mtoto kuingiza kipato cha kumlea? Sasa hapo wewe kama mzazi jukumu lako la malezi unalihamishia tena kwa mtoto?
Umembebesha magunia?
 
Back
Top Bottom