JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mtoto ni wake hakuna haja ya kumpangia, akifikisha hiyo miaka 18 atakuwa mtu mzima anaweza amua la kufanya, watoto tunawalisha mchicha lakin wakifika miaka 18 wanaweza kataa kula mchicha vile vile , kwahiyo hoja yake haina mashiko
“Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili.
“Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto asiufurahie utoto wake, anaweza kufikisha umri wa miaka 18 na akawa hapendi hayo mambo, itafika hatua wazazi wanaweza kuanza kuwachora tatuu watoto wao,” - Ambwene Yessayah ‘AY’, nyota wa Muziki wa Bongo Fleva.
Source: Salama Na
Mtoto mdogo mzazi ndio anaamua kila kitu hakuna tatizo , hata vyakula tunawalisha udogoni lakini wakikuaa wanavikataa, hivyo hivyo account unafungua kama akikua akakataa basi hayo ni maamuzi yake maana ameshakuwaUchizi tena wa kiwango cha juu.
Naona ni vyema mtoto akue aanzishe mwenyewe.
Unawafungulia kote Instagram na bank, vip kuna tatizo?Wapumbavu hao kwani wenzao wanawafungulia account za bank tangu wadogo na wakifika 18 ana hela zake aidha anaanzia biashara au anaingia chuo kikuu
That’s what I did for my kids
Waacheni Labda zinawaingizia mlo
Wacha watu wafanye kilicho bora kwa watoto waoUchizi tena wa kiwango cha juu.
Naona ni vyema mtoto akue aanzishe mwenyewe.
Life is too short.Sio kila kitu tuwe serious,huwa nafaidi account za watoto mbali mbali wa kibongo,panaponichekesha tu ni pale mama zao wanapojipost humo na kuanza kujisifia sifia kisha wanarudi kwenye accounts zao wana like na kucomment eti awwwii my baby😂😂😂😂😂
Unapenda huo uchizi wa mtoa mada.Sio kila kitu tuwe serious,huwa nafaidi account za watoto mbali mbali wa kibongo,panaponichekesha tu ni pale mama zao wanapojipost humo na kuanza kujisifia sifia kisha wanarudi kwenye accounts zao wana like na kucomment eti awwwii my baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi mwingine huyu hapa.Mtoto mdogo mzazi ndio anaamua kila kitu hakuna tatizo , hata vyakula tunawalisha udogoni lakini wakikuaa wanavikataa, hivyo hivyo account unafungua kama akikua akakataa basi hayo ni maamuzi yake maana ameshakuwa
Huwo ndo ugonjwa wa AKILI sasaSio kila kitu tuwe serious,huwa nafaidi account za watoto mbali mbali wa kibongo,panaponichekesha tu ni pale mama zao wanapojipost humo na kuanza kujisifia sifia kisha wanarudi kwenye accounts zao wana like na kucomment eti awwwii my baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo child benefits uliwawekea kwenye savings?Wapumbavu hao kwani wenzao wanawafungulia account za bank tangu wadogo na wakifika 18 ana hela zake aidha anaanzia biashara au anaingia chuo kikuu
That’s what I did for my kids
Waacheni Labda zinawaingizia mlo