Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwahiyo child benefits uliwawekea kwenye savings?
Wazazi mwendokasi wanaanza upload mimba hata haijafikisha mwakaWazazi bora hawawezi kufanya kitendo Cha kipuuzi kama hicho.
Si kitendo Cha kiungwana wala kiutu dhidi ya mtoto.
Sasa mbna umejitekenya mwenyewe af umecheka mwenyewe?Sio kila kitu tuwe serious,huwa nafaidi account za watoto mbali mbali wa kibongo,panaponichekesha tu ni pale mama zao wanapojipost humo na kuanza kujisifia sifia kisha wanarudi kwenye accounts zao wana like na kucomment eti awwwii my baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbna umejitekenya mwenyewe af umecheka mwenyewe?
Hivi ni sahihi kumtumia mtoto kama income generating activity?Hizo account za mitandaoni assets kwao. Celebrities wa kibongo ndio wanajua hindi gani hizo account zinawanufaisha wao. Mzazi anapokuwa maarufu anawezamrithisha mwanae umaarufu kabla umaarufu wa mzazi haujafifia.
Baadaye mtoto akijitambua account inakuwa ni maarufu. Mjue tu kuwa account za mitandao zinaweza kumuingizA mtu fedha ambazo wengi wetu hatuna taarifa nazo
If it's not harmful,yes. Hata hivyo hiyo income kwa ajili ya gharama za kumkuza. Halafu tudili na haki za msingi za mtoto. Chakula,mavazi,makazi,matibabu elimu. Hivyo vijihaki vya kutafutiza piga chiniHivi ni sahihi kumtumia mtoto kama income generating activity?
Je, utajuaje kama its not harmful? Mfano tumeona baadhi ya watoto walioingizwa kwenye mitandao wamekua subjected to bullying and the like. Ref. mtoto wa UwoyaIf it's not harmful,yes. Hata hivyo hiyo income kwa ajili ya gharama za kumkuza. Halafu tudili na haki za msingi za mtoto. Chakula,mavazi,makazi,matibabu elimu. Hivyo vijihaki vya kutafutiza piga chini
Ni jinsi walivyoitriti hiyo account. Magari hupata ajali ila haimaanishi tuache kupanda bali tuwe waangalifu.Je, utajuaje kama its not harmful? Mfano tumeona baadhi ya watoto walioingizwa kwenye mitandao wamekua subjected to bullying and the like. Ref. mtoto wa Uwoya
Ila mkuu hata ukiliangalia morally, is it okay kumtumia mtoto wako kama kitegauchumi? Yaani umzae mtoto, halafu umtumie huyo huyo mtoto kuingiza kipato cha kumlea? Sasa hapo wewe kama mzazi jukumu lako la malezi unalihamishia tena kwa mtoto?Ni jinsi walivyoitriti hiyo account. Magari hupata ajali ila haimaanishi tuache kupanda bali tuwe waangalifu.
Tatizo huwa hawasemi juu ya kiasi gani wanaongoza kupitia hizo account ndio maana twaona ni ujinga.
Ninong'oneze, ulipatwa na maswahibu gani ?me siku hizi hata picha sipost tena, hii mitandao imedhihihirisha jinsi watu walivyo wabaya sana. iwe birthday, graduation, mtoto kafanya hiki, sijui sherehe gani sitokuja kupost tena
sio mimi, mtu namfahamu alichafuliwa tu mtandaoni kesi ilienda polisi. pia kama mambo ya app ya yule dada, unajikuta umepostiwa umechafuliwa, watoto inawaathirije huko shuleni na kwingine? mbaya sana. Au bullying ya watoto mwishowe wengine wanajiua! bora kujifungia ndani kula maharage na wanao kila mtu na maisha yake, hamna haja kuonyesha watu, watu wenyewe si watu hataNinong'oneze, ulipatwa na maswahibu gani ?
Umembebesha magunia?Ila mkuu hata ukiliangalia morally, is it okay kumtumia mtoto wako kama kitegauchumi? Yaani umzae mtoto, halafu umtumie huyo huyo mtoto kuingiza kipato cha kumlea? Sasa hapo wewe kama mzazi jukumu lako la malezi unalihamishia tena kwa mtoto?