AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

Je, utajuaje kama its not harmful? Mfano tumeona baadhi ya watoto walioingizwa kwenye mitandao wamekua subjected to bullying and the like. Ref. mtoto wa Uwoya
Na Paula, na Elizabeth maiko
 
me siku hizi hata picha sipost tena, hii mitandao imedhihihirisha jinsi watu walivyo wabaya sana. iwe birthday, graduation, mtoto kafanya hiki, sijui sherehe gani sitokuja kupost tena
Why, what happened.
 
Aache watu tufaidi ac za watoto wa Insta. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UTOTO Ni utumwa......utafanya ,utakula,utaenda,utavaa like mzazi anataka.......by the way kanichekesha hiyo ya kujikomentia
 
Social media sickness
 
Mtoto ni wake hakuna haja ya kumpangia, akifikisha hiyo miaka 18 atakuwa mtu mzima anaweza amua la kufanya, watoto tunawalisha mchicha lakin wakifika miaka 18 wanaweza kataa kula mchicha vile vile , kwahiyo hoja yake haina mashiko
Kwa hiyo mtoto ndiye anakuwa ana_post!?
 
Je sawala la kumchagulia ushabiki mtoto simba au yanga?
 
Huo ugonjwa unaitwa psychological social proof ni hatari sana kwa current generation.
 
Uchizi mwingine huu kuandika muhimbiri badala ya muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…