AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Nilienda Botswana kumuona wifi yako mwingine kapagiwa kazi huko. Nimeenda na kugeuza as niko maeneo ya Mafikeng jirani na Bots wifi yako wa ukweli yuko kazini hadi jumamosi anageuzaView attachment 838202
Duuuh mkuu hongera...watsana umewapa nini we msukuma? Au ulienda na kizizi!?[emoji23] [emoji23] [emoji15]

Naona my love nyingi nyingi hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu)
 
Jamani hata sijibiwi…..AY kapata uraia haraka hivyo au alikua raia tayari?maanake najua kuna watu wanamiaka karibia minne na hawajapata Uraia.Wajuzi wa mambo mtuambie

Kwa nini unauliza kama kapata uraia?
 
Labda anafikiri Marekani kuna Lukuvi anayekataza wasio raia kununua nyumba.

Hata mimi nimewaza hivyo...

Marekani ukiwa na hela zako [$500,000.00] wanakupa hadi kijani, seuze kununua property?!!. At least last I checked it was that much....
 
Hata mimi nimewaza hivyo...

Marekani ukiwa na hela zako [$500,000.00] wanakupa hadi kijani, seuze kununua property?!!. At least last I checked it was that much....
Ni business based, $1m, ila ukiwa na business sehemu maalumu kama rural areas or inner city etc unapewa mpaka $500,000
 
ha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu
Ilishatokea hiyo.. na mbona waandishi hawajaongea
 
Jamani hata sijibiwi…..AY kapata uraia haraka hivyo au alikua raia tayari?maanake najua kuna watu wanamiaka karibia minne na hawajapata Uraia.Wajuzi wa mambo mtuambie
Labda kapewa greencard. Kuishi nchi fulani siyo lazima uwe raia ni ukazi tu
 
Back
Top Bottom