AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Misingi bora, malengo mazuri, kujituma, kujua kinachotakiwa na kukitekeleza, kuwa mkweli na uwezo wako, kuomba kusaidiwa pale unapoona umeshindwa, kuwa na utashi, kuheshimu sheria za nchi, kutaka kuchangia katika uchumi, kujua kuishi na watu vizuri, kujiendeleza kielimu,na kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.
Best analysis ever!
 
Hapo ndiyopenye tatizo, na hivi Kangi Lugola anataka mkataba wa kazi ...

Watu wengi wamekuja kishuleshule wakaunganisha baada ya kumaliza shule.
Kishule shule hivyo hivyo....
 
Hapo nimekupata vyema ...ni sawa sawa uambiwe ukienda kuishi dar iepuke tandale, manzese, na kigogo kwamba kule kuna robbery etc!
Halafu kuna machizi wenyewe wanajua hata ukitaka kupita kwa miguu Manzese kwa mfuga mbwa, saa tisa usiku, code zao vua shati na viatu, shika mkononi, katiza, wahuni wakikuona wanajua huyu mwanetu anajua code za hapa msimguse.
 
Kiranga huwa anajibu vizuri kuliko mabeba box yote yaliyoko huko! Stick to him if u want to get best advice!
You are far tookind.

I am much obliged.

Like Biggie said

"It was all a dream, I used to read Word Up! magazine
Salt-n-Pepa and Heavy D up in the limousine
Hangin' pictures on my wall
Every Saturday Rap Attack, Mr. Magic, Marley Marl "

-The Notorious B.I.G "Juicy"
 
Halafu kuna machizi wenyewe wanajua hata ukitaka kupita kwa miguu Manzese kwa mfuga mbwa, saa tisa usiku, code zao vua shati na viatu, shika mkononi, katiza, wahuni wakikuona wanajua huyu mwanetu anajua code za hapa msimguse.
Ewaa...haaaahaa
 
Mi nabeba boksi UPS mkuu. Ni package handler.

UPS umenikumbusha mbali sana .... walinileteaga perfomance car parts hao jamaa... 1jz-gte engine... borge warner turbo.. FMIC...defi gauges...HKS bov na coilovers..I&M cold air intake na mazaga mengi sana ... after instalation gari ilikuwa inapush 385 BHP with top speed 280kph alafu ndan ya miezi 6 ikapiga mzinga beyond repair nilivyoona hyo UPS imenikumbusha hasara kubwa kuwahi kuingia 😂😂😂
 
UPS umenikumbusha mbali sana .... walinileteaga perfomance car parts hao jamaa... 1jz-gte engine... borge warner turbo.. FMIC...defi gauges...HKS bov na coilovers..I&M cold air intake na mazaga mengi sana ... after instalation gari ilikuwa inapush 385 BHP with top speed 280kph alafu ndan ya miezi 6 ikapiga mzingq beyond repair nilivyoona hyo UPS imenikumbusha hasara kubwa kuwahi kuingia 😂😂😂

Duh!

Basi hapo UPS mazee mi ndo napiga mzigo.

Hata sasa hivi hapa nipo kwenye conveyor belt nasubiria viboksi vishushwe toka kwenye gari.

Yawezekana kabisa hata hizo package zako nilizi handle mimi.

USA baby.
 
Duh!

Basi hapo UPS mazee mi ndo napiga mzigo.

Hata sasa hivi hapa nipo kwenye conveyor belt nasubiria viboksi vishushwe toka kwenye gari.

Yawezekana kabisa hata hizo package zako nilizi handle mimi.

USA baby.
hahah... ungezi handle ww zingekuwa na baraka bwana 😂😂 maana zile zilikuwa mkosi mtupu nilifanya modificatios worth karibia 4000$ alafu ndan ya miezi 6 mzinga nyang'anyang'a
 
Back
Top Bottom