witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Best analysis ever!Misingi bora, malengo mazuri, kujituma, kujua kinachotakiwa na kukitekeleza, kuwa mkweli na uwezo wako, kuomba kusaidiwa pale unapoona umeshindwa, kuwa na utashi, kuheshimu sheria za nchi, kutaka kuchangia katika uchumi, kujua kuishi na watu vizuri, kujiendeleza kielimu,na kuwa na pua ya kunusa kuwa katika sehemu inayotakiwa katika wakati unaotakiwa.