Duuuh mkuu hongera...watsana umewapa nini we msukuma? Au ulienda na kizizi!?[emoji23] [emoji23] [emoji15]Nilienda Botswana kumuona wifi yako mwingine kapagiwa kazi huko. Nimeenda na kugeuza as niko maeneo ya Mafikeng jirani na Bots wifi yako wa ukweli yuko kazini hadi jumamosi anageuzaView attachment 838202
Mwanaume mashineDuuuh mkuu hongera...watsana umewapa nini we msukuma? Au ulienda na kizizi!?[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Naona my love nyingi nyingi hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] ( joke mkuu)
Hahaha ila huu ndio ukwelihongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
Hongera zako[emoji122] [emoji122] [emoji122]Mwanaume mashine
Maana hamna namna by Mizengo PindaHongera zako[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Amn yupo sahihiUtakua na tatizo kichwani.
Jamani hata sijibiwi…..AY kapata uraia haraka hivyo au alikua raia tayari?maanake najua kuna watu wanamiaka karibia minne na hawajapata Uraia.Wajuzi wa mambo mtuambie
Labda anafikiri Marekani kuna Lukuvi anayekataza wasio raia kununua nyumba.Kwa nini unauliza kama kapata uraia?
Labda anafikiri Marekani kuna Lukuvi anayekataza wasio raia kununua nyumba.
Kivip mkuu, sijakuelewaA nice dream but full of nightmares
Ni business based, $1m, ila ukiwa na business sehemu maalumu kama rural areas or inner city etc unapewa mpaka $500,000Hata mimi nimewaza hivyo...
Marekani ukiwa na hela zako [$500,000.00] wanakupa hadi kijani, seuze kununua property?!!. At least last I checked it was that much....
Yaani kuvuka sirari tu hapaKila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Ilishatokea hiyo.. na mbona waandishi hawajaongeaha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu
Ni business based, $1m, ila ukiwa na business sehemu maalumu kama rural areas or inner city etc unapewa mpaka $500,000
Labda kapewa greencard. Kuishi nchi fulani siyo lazima uwe raia ni ukazi tuJamani hata sijibiwi…..AY kapata uraia haraka hivyo au alikua raia tayari?maanake najua kuna watu wanamiaka karibia minne na hawajapata Uraia.Wajuzi wa mambo mtuambie
Vipi ukiwa na pesa watakubagua ??Worst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu
Kwaio mkuu Nyani Ngabu na Copenhagen wanavulimia sana huko marekani/ulaya auWorst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu