Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwaio mkuu Nyani Ngabu na Copenhagen wanavulimia sana huko marekani/ulaya au
Ya flavy tuianzishie uziMwenye pesa sio mwenzio,wasingemuweza mama remmy
Ndo hivyo,mambo uzungu uzungu. Hivi kwann hawakufungia kanisani wakaenda beach ukute ndoa ya mkataba ile(hapa naikumbuka ndoa ya flav matata sijui iliishia wapi)
Mimi nishabaguliwa Tanzania kuliko Marekani.Vipi ukiwa na pesa watakubagua ??
Tigo walikata rufaa kwahiyo mpunga bdo wanauota ndotoni,kesi ya madai mwisho wa siku wanaweza kupewa 200m hapohapo na mwanasheria aleKuna ela alipiga ndefu sana, mahakama ilipo amuru tigo wamlipe
Acha kabisa.
Bei za nyumba bongo ni za ajabu kweli.
Ukiona hizo million dollar houses za bongo halafu ulinganishe na million dollar houses za Marekani, utashangaa!!!!
Hivi ndoa ya Flav kushnei??
Umeona eeeh?Kweli aiseee tunaweza pata mawili matatu humo
Bora basi kiwanja kingekuwa kikubwa, kwamba fine, kutokana na proximity yake na K/koo, unaweza kujenga jengo kubwa la kibiashara but the plot not enough even for a residential house worth for a billion dollars Client!!!!Good grief!!
It can’t be serious!!
Ebwanaaa eeeh!....kesi haijaisha hadi leo doooh[emoji15] [emoji15]Tigo walikata rufaa kwahiyo mpunga bdo wanauota ndotoni,kesi ya madai mwisho wa siku wanaweza kupewa 200m hapohapo na mwanasheria ale
Best ake upogo?....long time asee
am here pal... as always! Uko poa lakini?!Best ake upogo?....long time asee
Niko poa kabisa...full kupotea tunakutana kwa mazabe mazabe!am here pal... as always! Uko poa lakini?!
Ebwanaaa eeeh!....kesi haijaisha hadi leo doooh[emoji15] [emoji15]