AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Mkuu, umemaanisha jerusalem mbinguni au kule mashariki ya kati!?
Mkuu YESU atakuja hapa hapa duniani na kuuleta Ufalme wa MUNGU hapa hapa na makao yake makuu yatakuwa Jerusalemu ile iliyopo pale mashariki ya kati. Ule mji unaojengwa Mbinguni unaoitwa Jerusalemu utashuka duniani na kutua pale pale ilipo Jerusalemu ya sasa hivi.

Soma maandiko yako vizuri mkuu, hatwendi Mbinguni bali YESU ndiye anayekuja hapa duniani na kuwa Mfalme au Rais wa dunia yote. Kwa maana nyingine YESU anakuja kuanzisha Serikali ya MUNGU hapa hapa duniani na makao makuu ya hii Serikali ya MUNGU yatakuwa pale Jerusalemu.
 
Naona kesi ya tigo imewalipa sio kitoto
Bt bongo Dar esp ukiwa na hela maisha ni mazur sn yani
Labda hawataki figisu za huku

wamelipwa bilioni 2.. wamegawana bilion moja moja.. na msando akapewa parcent yake... bilioni moja ni milion moja moja ziwe 1000... sio hela ya kitoto
 
wamelipwa bilioni 2.. wamegawana bilion moja moja.. na msando akapewa parcent yake... bilioni moja ni milion moja moja ziwe 1000... sio hela ya kitoto
Lumpsum hio ni good start ishu ni kipato cha kila siku
Bila shaka kajipanga
 
Ah Kule safari tu aisee sijawahi dream kuishi nchi yoyote zaidi ya bongo
Nkiishi beach dar huku nje sipajitaji kbs yani
I enjoy the company of family n friends na mazingira nlozoea

Wewe je
Duuh wewe uko kama mimi tu,
Yaani huko nje ni kuzuri sana sana lakini binafsi moyo wangu uko Tanzania.
Kinachonivutia huko nje ni elimu na kazi tu, lakini hakuna sehemu nayoipenda kama bongo.
 
Unaweza kuta TZ kuna ubaguzi kuliko kwa Trump? ubaguzi unaofanywa na Jiwe na watu wake, police n.k ni ubaguzi mbaya sana.
You're deluded. Unajua weusi wangapi wamekufa na wapo jela marekani kwa issue very minor, huu mwaka alone. Wabongo bhana, usiache mbachao kwa msala upitao. Mtapata tabu sana.
 
Duuh wewe uko kama mimi tu,
Yaani huko nje ni kuzuri sana sana lakini binafsi moyo wangu uko Tanzania.
Kinachonivutia huko nje ni elimu na kazi tu, lakini hakuna sehemu nayoipenda kama bongo.
Nje maisha yako tight sana basi tu sijui watu wanapapendea nini
Huku kwetu ni kwepesi ukiwa mtu wa bidii plus ukabahatika sm few thngs unaishi vizuri mnoo
 
Hana uwezo wa kuishi Calabasas, L.A...achilia mbali kununua nyumba sehemu hiyo. Jifunzeni kufanya research kabla ya kuandika taarifa humu JF. Sio kila mtu ni boya humu.
No Research No right to Speak.
Unataka kusema anadanganya siyo?
 
ndoto ya mtoa mada ni kuishi unga limited-arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…