MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Teh teh teh teh,Hahaha!! Nyuzi zangu lazima zitakuboa tu... mimi na mzee mwenzangu Malcom Lumumba tumezoea kujadili Bombardier, Mchuchuma, Liganga n.k... ashukuriwe Demiss manake ndie huwa anatuburuzwa kwa minyororo hadi kwenye social lounge!!!
Haka ka Demiss sijui kanatumia dawa gani kutuvuta haka...