AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

I have no idea where he is.

The only time I see his name is when he’s mentioned here.

But, maybe he is that loaded.

Jirani, California ukitaka supu ya miguu ya nguruwe bakuli $300, then he choses Calabasas.. maybe, maybe not[emoji4][emoji4]
Used to live there years ago before relocating and it’s no fun.☹️
 
Ndio mkuu....hakuna kitu kama hicho nini mbona umeshangaa!

mkuu utawaweza wabongo basi kwa roho mbaya.... maana jamaa siku hizi picha zote anazopost snap na insta yupo kwenye huo mjengo sasa hao wanaobisha wanataka kusema kiwa kila siku akitaka kupiga picha huwa anaenda hapo anapiga alafu anarudi sehemu nyingine anapoishi 😂😂😂😂
 

Lmao! Eti Roho mbaya! Usilolijua uliza.
Peace!
 
DrLove69

I see you quoted me, but I do not see anything you wrote, if you did.

He did.

He said he went to school at UC Berkeley in the mid 90s and he knows that area very well.

Go back and expand the response and you’ll see what he/ she wrote.

It’s buried smack dab in the middle.
 

UPS package handler sijui itanichukua muda gani kupata mjengo kama huo...

Dayuuuum
 
I have no idea where he is.

The only time I see his name is when he’s mentioned here.

But, maybe he is that loaded.
Halafu Marekani mtu wala huhitaji kuwa loaded that much.

Inanikumbusha wimbo mmoja wa Nas, anajitapa sana ana ma Lear jet ma Yachts kanunua hood nzima et.

Halafu kasema ana briefcase limejaa "paper".

Akamalizia anasema "not money, it's bank statements"

Kuna wakati kitambo kidogo matumizi yangu yalinifanya nionekane kwenye radars za Bank of Americakama nina kampuni. Wakanifungulia akaunti ya hadhi ya kampuni kwa sababu ya matumizi tu, wakati sina kampuni.

Watu wanapenda kufanya biashara, watu wamechukua maloans mpakaya NINJA huko, recession ikawaumbua.

Sasa kama mtu kajitutumua, kachonga ma portfolio yake,ya uongo au kweli, kapata mi loans, anawaonesha kanunua nyumba, hata hamna cha kushangaza.

Nyumba zenyewe malipo miaka 30!
 
He did.

He said he went to school at UC Berkeley in the mid 90s and he knows that area very well.

Go back and expand the response and you’ll see what he/ she wrote.

It’s buried smack dab in the middle.
Bejeezus.

No wonder I dumped that kid from UC Berkeley.

Now they can't even type?

But that hardly answers my question, one can see that the area is an LA burband is not the hood, that is not the question.

The question was, why shouldn't AY be able to afford a crib there? Not saying that he can, but is there any reason other than the usual "mbongohawezi kukaa hapo" ?

Anajuaje kwamba AY hajalipwana Tigo kesi yao, akachanganya na za mkewe na investment yake, akaamua zote kuzitupia kwenye real estate?
 
UPS package handler sijui itanichukua muda gani kupata mjengo kama huo...
Dayuuuum

hahah.... the chimney ngabu najua unatu enjoy tu hapa.... ww una mansion tayari yani hapa unatucheka tunavyoshangaa huo mjengo
 
Nimesema my dude nyumba za kulipa miaka 30 hizi watu wasioelewa mortgages za US tu ndio watakaoona ajabu mtu kununua nyumba ya 2-3 m kama kajipanga.
 
Hujajibu nilichouliza, ulichojibu sijauliza.
 

Word!

Kuna watu huwa nawaambia kwamba kwa US mtu kuendesha gari kali haimaanishi kwamba yuko loaded kivile.

Mtu anaweza kabisa akawa na income ya $40,000.00/yr na akasukuma 750 Li.

Halafu watu mkajiuliza mbona huyu mshikaji ana kazi ya kawaida tu na anasukuma ndinga kali hivyo....

Kumbe mwenzenu ana credit nzuri [700+], ana low debt to income ratio, kaweka down payment kubwa, na kadhalika.

Na si ajabu ka lease, na si kanunua.

Na hata kama kanunua, si ajabu ka opt kwa maximum number of months they could offer....

Halafu kuhusu cribs, kuna kupanga pia....

Lots of folks rent/ lease.

Having said that, mimi sijui kabisa situation ya mshikaji.

Kama kanunua, more power to him
 
Kununua gari (lease..finance etc) ni tofauti na kununua nyumba (lease..finance etc) in certain Zip codes Bob.
Unataka kuniambia huyo jamaa atakuwa na 700+ credit score to lease or finance a house in Calabasas?
Watu walioishi L.A wanajua inakuwaje hii!
Nataka tuwe realistic that's all.
Hainiongezei wala kunipunguzia Usingizi hata jamaa akinunua Mansion next to Pearly Gates up in Heaven.
 

Kuna mshkaji ana growing fam halafu alijibana sana first home, kachukua crib ambayo tukiiweka hapa itaitwa "mansion" kama hivyo,pool and all, the works.

Kashaanza kulalamika akiangalia tax bill na mazagazaga mengine, anasema angalia sana usinunue kwa emotion.
 
Mazee, nimekuuliza unazijua portfolio za AY na huyo mke wake mpya?

Kama wanahusiana na majambazi wa madini wa Congo na wamelipwa hela nzuri kwa deal walizofanya majuzi wewe utajuaje?

Unaweza kujibu hayo maswali?

Sikatai,inawezekana jamaa kaomba tour kwa realestate agent akapiga picha na kuzusha nyumba yake.

Lakini unavyobisha una uhakika gani? Una data?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…