Halafu Marekani mtu wala huhitajikuwa loaded that much.
Inanikumbusha wimbo mmoja wa Nas, anajitapa sana ana ma Lear jet ma Yachts kanunua hood nzima et.
Halafu kasema ana briefcase limejaa "paper".
Akamalizai anasema "not money, it's bank statements"
Kuna wakati kitambo kidogo matumizi yangu yalinifanya nionekane kwenye radars za Bank of Americakama nina kampuni. Wakanifungulia akaunti ya hadhi ya kampuni kwa sababu ya matumizi tu, wakati sina kampuni.
Watu wanapenda kufanya biashara, watu wamechukua maloans mpakaya NINJA huko, recession ikawaumbua.
Sasa kama mtu kajitutumua, kachonga ma portfolio yake,ya uongo au kweli, kapata mi loans, anawaonesha kanunua nyumba, hata hamna cha kushangaza.
Nyumba zenyewe malipo miaka 30!