AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Nimesema my dude nyumba za kulipa miaka 30 hizi watu wasioelewa mortgages za US tu ndiowatakaoona ajabu mtu kununua nyumba ya 2-3 m kama kajipanga.

True that!

30yr loan, 2-4% APR, decent down payment.....hapo your monthly note inaweza hata isiwe kubwa kivile..:

Making it very possible to buy a house.
 

Oh no.

Trust me. Tofauti ya zip codes naielewa sana.

Nilikuwa naonyesha tu mfano jinsi gani inavyowezekana kupata vitu flani flani hata kama hauko loaded kivile.

Silinganishi financing ya gari na nyumba.

Been living in the US more than half my life....

So I know how things are.
 
Haahaaaa
 
True that!

30yr loan, 2-4% APR, decent down payment.....hapo your monthly note inaweza hata isiwe kubwa kivile..:

Making it very possible to buy a house.
Plus the guy has been hustling for decades, biz kibao.

I am not saying he can't be a poser, lakini ukisema hivyo angalau njoo na record inayoonesha nyumba zote zilizouzwa mjihuo mwaka mzima, semajina lake wala la mke wake, wala la jamaa wake yeyote wa karibu halipo.

US rekodi za kununua nyumba zote ziko online.

Hapoumejenga a data centred refutation.

Sio unakataa tu hata sababu huna.

Hatusemi AY nilazima atakuwa kanunua hiyo nyumba, lakini unaposema hajanunua, weka data basi.

Ama sivyo watu wanaweza kusema una roho ya kikorosho tu kwamba umejijengea taswira kwamba hiyo hood wabongo hawawezi kununua nyumba.
 
Acha kuongea kama muhuni muuza Togwa wa vingunguti.
Kununua nyumba sehemu kama CALABASAS ingekuwa rahisi hivyo kwa watu aina ya hao so called majambazi wa madini Congo then before hao majambazi wako hawajafika huko drug dealers wangekuwa wamejaa huko.
Kununua nyumba baadhi ya Zip code haijalishi tu hela bali...jina...background records..etc.
So kindly go back to your cave and get that book called "Be Realistic for Dummies" pitia kurasa mbili tatu zitakusaidia.
 
Kiranga nieleweshe vizuri hapo kwenye tax bill
 
Mtu katoka zake Africa background checks za Marekani zitajuaje historia yake ya Africa.

Mazee, onesha ushahidi AY hajanunua hiyo nyumba basi, au una ugwadu tu maisha yamekupiga?

Mimisisemi kwamba AY nilazima kanunua hiyo nyumba, inawezekana anaendekeza show.

Lakini kablaya kusema hajanunua hiyo nyumba, weka ushahidi basi.

Kwa sababu kinyume na hivyoutaonekana hater tu unabisha kitu kabla hujapata ushahidi wowote.
 

Mazee, mbona kama vile unazungumzia assumptions tu?
 
Kuna wakati kitambo kidogo matumizi yangu yalinifanya nionekane kwenye radars za Bank of Americakama nina kampuni. Wakanifungulia akaunti ya hadhi ya kampuni kwa sababu ya matumizi tu, wakati sina ka

Kama kawaida yako mzee wa kufunguka! Una force maujiko na recognition. Kila thread unayokwenda we ni kifunguka tu kuhusu personal life yako ili upate some "respect".
Hujui mambo unayosema watu wamefanya kitambo! Watu wameingia JFK na Aeroflot we bado upo bongo unajikojolea kitandani. Sasa mradi kuna google imeanzishwa basi hushikiki una google tu na kuandika kiingereza pori!
 
Unaonekana una matatizo.
Am too old for this shayt...so I rest it.
Deuces.
 
KunaMpakistani mshkaji wangu kanunua nyumba kama $400,000 kila mwaka anapigwa karibu $17,000 kwenye kodi ya hiyo nyumba. Aikaa miaka 20 tu anainunua nyumba kwa kodi tu.
Ooh Ok.....mbona kodi kubwa hivyoo?...na miji yote kwa hapo marekani tax bill inakuwa kubwa au inategemea na nyumba na nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…