You and whose army?We shukuru kuna hii on line com.
Tukikutana face to face hutafungua bakuli lako!! Utapinda tu na kutoa ushuzi
Hata mm pia hii ni ndoto yanguAy ametimizi ndoto yake, hata mimi ndoto yangu ni siku moja niweze kuishi Jerusalemu katika Ufalme wa MUNGU ambapo YESU atakuwa MFALME wetu. Naamini nitafanikisha hii ndoto kwa rehema za BWANA MUNGU.
Nikifika huko ntakutafuta mkuu.Karibu. Jeshi linahitaji watu kibao kupambana huku.
A birdbrained boondoggling bellicose bumpkin like you, of course.
Wanadanganyana hao mkuu! Bora ubaguzi wa mzungu kuliko ubaguzi wa ccmMimi nishabaguliwa Tanzania kuliko Marekani.
Marekani nimepewa project kubwa kuongoza dunia nzima na hao hao mnaosema wanabagua weusi.
Tanzania hata kazi ya kuzoa taka bila kumjua mjomba au kumlamba miguu DC tabu.
Acheni ujinga.
Which army!?You and whose army?
Wewe umeshaishi Marekani au unabwabwaja tuYou're deluded. Unajua weusi wangapi wamekufa na wapo jela marekani kwa issue very minor, huu mwaka alone. Wabongo bhana, usiache mbachao kwa msala upitao. Mtapata tabu sana.
Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbuaHana uwezo wa kuishi Calabasas, L.A...achilia mbali kununua nyumba sehemu hiyo. Jifunzeni kufanya research kabla ya kuandika taarifa humu JF. Sio kila mtu ni boya humu.
No Research No right to Speak.
Naona umeamua kumpa angalizo kbs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu alimwagika povu humu kuwa mama ake remmy ni mrwanda ila baba mtanzania ila walikorofishana na mama remmy so mama remmy akawa anaishi huko bukoba baadae akaolewa na kigogo wa juu serikali ya kagame. So akina remmy wamelelewa sana na baba mrwanda kuliko mtanzania. A.Y awe mjanja la sivyo mbelen atarudi na kusifia alikua na ndoto za kuzeekea bongo alone[emoji23][emoji23]
Jamaa anakwambia "no research no right to speak" hapo ni baada ya yeye kuambiwa atoe chanzo chake cha kusema AY hawezi kununua nyumba hapo. Na kukimbia.Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbua
Hahaha, you can't spar with me, mentally or physically.Which army!?
Hahaha, you can't spar with me, mentally or physically.
You couldn't fight my pinky's pinky if it had all its arms tied to the back!
Jamaa aliowa Mnyarwanda. Mnyarandwa bila ela hapo hajaolewa, na alivyoona mziki wake unadorora kaona bora aende kubeba mabox ulaya
Nisipotaka anunue au kuwa na wivu inanisaidia nini? After all I don't even know the cat.Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbua
Acha utoto mpumbavu Wewe. Ujuaji mwingiiiii kumbe huna lolote unalojua.Jamaa anakwambia "no research no right to speak" hapo ni baada ya yeye kuambiwa atoe chanzo chake cha kusema AY hawezi kununua nyumba hapo. Na kukimbia.
Sheria yake mwenyewe anayokuwekea wewe imemshinda yeye mwenyewe
Hatukatai.
Inawezekana anachosema kweli na AY anataka kutuingiza maboya.
Lakini huyu anayesema AY hawezi kununua nyumba hapo, kafanya research gani?
Jamaa kakimbia.
KE- NYANIKila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Ndio Kenya huko.KE- NYANI
USA umeme unakatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujerumani hiko kitu hamna labda kitokee kimbungaUS sehemu nyingi sana, pound for pound ya mjengo, nyumba ni rahisi kuliko Mbezi Beach,halafu nyumba zina huduma zote za jamii, zimamoto,shule za maana, barabara nzuri, maji ya uhakika, ummeunaokatika labda mara moja kwa mwaka, Amazon delivery, Netflix, broadband internet, Wi-Fi to the last tooth etc.
Tatizo Kangi Lugola atakudai mkataba wa kazi hata kama bilionea wa Arusha unataka kutembea uone dunia.