AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Inawezekana wamelipwa na tigo wakamua ku_keep it on the Down low,maana hata Msando hana show-off kama za Mwanzo za Kuonyesha Milioni 10 akiwa kwenye Range Rover Sport,Kuonyesha Ice and thinks like that.
 
Mimi nishabaguliwa Tanzania kuliko Marekani.

Marekani nimepewa project kubwa kuongoza dunia nzima na hao hao mnaosema wanabagua weusi.

Tanzania hata kazi ya kuzoa taka bila kumjua mjomba au kumlamba miguu DC tabu.

Acheni ujinga.
Wanadanganyana hao mkuu! Bora ubaguzi wa mzungu kuliko ubaguzi wa ccm
 
You're deluded. Unajua weusi wangapi wamekufa na wapo jela marekani kwa issue very minor, huu mwaka alone. Wabongo bhana, usiache mbachao kwa msala upitao. Mtapata tabu sana.
Wewe umeshaishi Marekani au unabwabwaja tu
 
Hana uwezo wa kuishi Calabasas, L.A...achilia mbali kununua nyumba sehemu hiyo. Jifunzeni kufanya research kabla ya kuandika taarifa humu JF. Sio kila mtu ni boya humu.
No Research No right to Speak.
Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbua
 
Kuna mtu alimwagika povu humu kuwa mama ake remmy ni mrwanda ila baba mtanzania ila walikorofishana na mama remmy so mama remmy akawa anaishi huko bukoba baadae akaolewa na kigogo wa juu serikali ya kagame. So akina remmy wamelelewa sana na baba mrwanda kuliko mtanzania. A.Y awe mjanja la sivyo mbelen atarudi na kusifia alikua na ndoto za kuzeekea bongo alone[emoji23][emoji23]
Naona umeamua kumpa angalizo kbs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbua
Jamaa anakwambia "no research no right to speak" hapo ni baada ya yeye kuambiwa atoe chanzo chake cha kusema AY hawezi kununua nyumba hapo. Na kukimbia.

Sheria yake mwenyewe anayokuwekea wewe imemshinda yeye mwenyewe

Hatukatai.

Inawezekana anachosema kweli na AY anataka kutuingiza maboya.

Lakini huyu anayesema AY hawezi kununua nyumba hapo, kafanya research gani?

Jamaa kakimbia.
 
Hahaha, you can't spar with me, mentally or physically.

You couldn't fight my pinky's pinky if it had all its arms tied to the back!

Phew..!! After this ur satisfied. U won. Ur the best!!
 
Jamaa aliowa Mnyarwanda. Mnyarandwa bila ela hapo hajaolewa, na alivyoona mziki wake unadorora kaona bora aende kubeba mabox ulaya


Unatakiwa usome Marekani ramani mkuu, Marekani sio Ulaya.
 
Mkuu hutaki anunue au ni wivu unakusumbua
Nisipotaka anunue au kuwa na wivu inanisaidia nini? After all I don't even know the cat.
Kitu sipendi maishani ni UONGO na unafiki. Maisha yetu wala vumbi yamejaa UONGO mpaka yanakinaisha.
Nenda kwa L.A County Assessor's office utapata taarifa zote za msingi kuhusu 90290, 90301, 91302 & 91372 home owners records.
Tusidanganye upumbavu humu JF....kuna watu wameishi huko maisha yao yote wapo humu na wako kimya tu sababu sio watu wa kiki za kipuuzi. Ila zinapoletwa habari kama hizi ni wajibu kuweka Records na Facts sawa.
Kununua MANSION CALABASAS sio sawa na kununua Mark X bongo.
 
Jamaa anakwambia "no research no right to speak" hapo ni baada ya yeye kuambiwa atoe chanzo chake cha kusema AY hawezi kununua nyumba hapo. Na kukimbia.

Sheria yake mwenyewe anayokuwekea wewe imemshinda yeye mwenyewe

Hatukatai.

Inawezekana anachosema kweli na AY anataka kutuingiza maboya.

Lakini huyu anayesema AY hawezi kununua nyumba hapo, kafanya research gani?

Jamaa kakimbia.
Acha utoto mpumbavu Wewe. Ujuaji mwingiiiii kumbe huna lolote unalojua.
 
US sehemu nyingi sana, pound for pound ya mjengo, nyumba ni rahisi kuliko Mbezi Beach,halafu nyumba zina huduma zote za jamii, zimamoto,shule za maana, barabara nzuri, maji ya uhakika, ummeunaokatika labda mara moja kwa mwaka, Amazon delivery, Netflix, broadband internet, Wi-Fi to the last tooth etc.

Tatizo Kangi Lugola atakudai mkataba wa kazi hata kama bilionea wa Arusha unataka kutembea uone dunia.
USA umeme unakatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujerumani hiko kitu hamna labda kitokee kimbunga
 
Back
Top Bottom