AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Hilo jumba si chini ya $1m
 
Umenena
 
Ooh Ok.....mbona kodi kubwa hivyoo?...na miji yote kwa hapo marekani tax bill inakuwa kubwa au inategemea na nyumba na nyumba?
Mkuu huo ni wizi uliohalalishwa na sheria!! Wajanja washastuka now wanawekeza sana africa na sehemu nyinginezo ambazo hazina izo sheria za kodi za kijambazi....

Binafsi nimeshangaa sana ay kununua nyumba marekani watu wanapakimbia ye ndyo anapakimbilia!!!
 
Fake news. Mtu aonyeshe Star Showbiz Entertainment Platform ambapo inadaiwa original story ya AY kusema kanunua nyumba California inapatikana wapi ili tusome wenyewe fîrst-hand. Pia huyo real estate agent Sheila Kiwanuka kapost IG she was ONLY showing AY the house.
 
Hana uwezo wa kuishi Calabasas, L.A...achilia mbali kununua nyumba sehemu hiyo. Jifunzeni kufanya research kabla ya kuandika taarifa humu JF. Sio kila mtu ni boya humu.
No Research No right to Speak.
Calabasas sasa tuna mtanzania yuko jirani kabisa na Kris Jenner/Mama Kardashian
 
Ni kweli mkuu....nimeshangaa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…