AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Criiibs.

PHOTOS: Tanzanian singer AY buys huge mansion in California

Tanzanian singer Ambwene Allen Yessayah better known as AY is living the dream life. His new address is now in Calabasas, California.

Speaking to a US tabloid the artist revealed that owning a house in the United States has always been a dream of his and it has finally materialized.


“It has always been my dream that I own a home in the US. And now that I have purchased a mansion in California, I feel that I have achieved a major milestone in life. I thank God for this,’’AY told US-based entertainment platform, Star Showbiz.

Yet to disclose how much the mansion cost him, AY married the love of his life on February the 24th and welcomed his first child three days ago.

Mungu ni Mwema na namshukuru sana kwa kutubariki mimi na My Beautiful Wife #Remy tarehe 12.08.2018 Medical City Healthcare Dallas -Texas tumepata mtoto wa kiume AVIEL maana yake God is my father.... 3.9Kgs & 27 inches...Welcome to the World Aviel Yessaya,’’ he posted.

About a seven months later, AY was house hunting in the West Coast.

“Now let me welcome everybody to the Wild, Wild West,’’ he posted a month ago while shopping around for his dream house.

Here are some of the photos of the house.

ojonu2yp1lq0izoxgr5b73f753d22d2.jpg



rode61ls2ofgxmn5b73f77e05eda.jpg


ohuvb9dc81lodgrq5b73f7a331045.jpg
Hilo jumba si chini ya $1m
 
Katika saikolojia kiuna kitu kinaitwa self- hatred", hii inakwenda mpakakufikia "ethnic self-hatred".

Watu tunaokaa ughaibuni miaka mingi, inabidi tuwe waangalifu sana tusije kukutwa na hii hali ya "ethnic self-hatred".

Dalili za hii "ethnic self-hatred" ni dhana kama

1. Waswahili/ wabongo ni washenzi
2. Waswahili/ wabongo hawawezi kununua nyumba sehemu fulani, kusoma shulefulani, kufanya mambo fulani
3. Waswahili/Wabongo wakipewa nafasi fulani wataharibu
4. Waswahili/Wabongo wakifanya mambo fulani ambayo hawakutegemewa ni lazima wameiba, wameuza madawa
5. Hayo yote yanafikiriwa kamadefult, bila ushahidi wala sababu yoyote ya kuzalisha shuku hizo

Narudia, AY hatujui habari zake, kama msanii, kutengeneza image nikazi yake, kwa hiyo haitanishangaza kama ana pose tu na hajanunua huo mjengo.

Inawezekana kabisa.

Lakini, wastaarabu hawamu accuse mtu kitu bilaushahidi.

Mimi sitamuelewa mtu anayesema AY anadanganya, bila hata ya kuwa na ushahidi hata mdogo tu kwamba AY anaongopa.

Atupe ushahidi basi, tujiridhishe. Sasa mtu hana ushahidi wowte anabwaka tu AY muongo, hawezikununua huo mjengo.

Kamakashinda bahati nasibu jana? Kama kalipwa helazakena Tigo? Kama kachangisha watu wafanye deals zao?

Hii tabia ya ethnic hatred ni mbaya sana.

Sisi tunaokaa ughaibuni miaka mingi tujilinde ili tusiwe na ethnic hatred,hususan bila hata sababu ya kuhalalisha shuku hiyo.
Umenena
 
Ooh Ok.....mbona kodi kubwa hivyoo?...na miji yote kwa hapo marekani tax bill inakuwa kubwa au inategemea na nyumba na nyumba?
Mkuu huo ni wizi uliohalalishwa na sheria!! Wajanja washastuka now wanawekeza sana africa na sehemu nyinginezo ambazo hazina izo sheria za kodi za kijambazi....

Binafsi nimeshangaa sana ay kununua nyumba marekani watu wanapakimbia ye ndyo anapakimbilia!!!
 
Fake news. Mtu aonyeshe Star Showbiz Entertainment Platform ambapo inadaiwa original story ya AY kusema kanunua nyumba California inapatikana wapi ili tusome wenyewe fîrst-hand. Pia huyo real estate agent Sheila Kiwanuka kapost IG she was ONLY showing AY the house.
 
Hana uwezo wa kuishi Calabasas, L.A...achilia mbali kununua nyumba sehemu hiyo. Jifunzeni kufanya research kabla ya kuandika taarifa humu JF. Sio kila mtu ni boya humu.
No Research No right to Speak.
Calabasas sasa tuna mtanzania yuko jirani kabisa na Kris Jenner/Mama Kardashian
 
Mkuu huo ni wizi uliohalalishwa na sheria!! Wajanja washastuka now wanawekeza sana africa na sehemu nyinginezo ambazo hazina izo sheria za kodi za kijambazi....

Binafsi nimeshangaa sana ay kununua nyumba marekani watu wanapakimbia ye ndyo anapakimbilia!!!
Ni kweli mkuu....nimeshangaa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom