AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Duu yani nashanaa sana watu wanavyotumia nguvu kubwa kukanusha as if wanajua source zote za income ya Ay au source za income za mkewe. Shame on you
 
 
 
Write your reply...Wenzake wa East Coast team sijui wako wapi, maisha sometimes ni kama riadha.
 
Worst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu

Mkuu pambana na hali yako! Siyo kila mwafrika anayeishi US au Europe ana maisha magumu! Kuna wengine wanaishi vizuri kuliko hata waAmerica wenyewe.

By the way hata hapa bongo kuna wengine hata hizi porojo za vyuma kukaza wanazisikia kwenye viringi vya bia na nyama choma.

Either way, US au bongo kote ni pazuri kuishi. It depends hali yako iko vipi.
 
Uko sahihi, kuna siku nlishaambiwa na mtu alimuuliza mwanae mayai yanatoka wapi akaambiwa supermarket
 
Mkuu jambo kubwa tunalokosea ni kufanya maoni kuwa fact.

Mawazo yako wewe/maoni yako wewe unataka uwe uhalisia.
 
Uko sahihi, kuna siku nlishaambiwa na mtu alimuuliza mwanae mayai yanatoka wapi akaambiwa supermarket

hahahaha Mkuu umeua. Unajua kuna watu umasikini umetuathiri mpaka kichwani. Analinganisha hali yake kiuchumi na wengine asiowajua. Hizi porojo kwamba US maisha ni magumu sijui wanazitoa wapi. wewe sema hali yangu ni ngumu. wewe sema vyuma vimekaza mfukoni mwangu.... Kuna watu wanaishi vizuri sana huko mambeleeez. Kama maisha yamekushinda US, most likely hata ukija bongo yatakushinda tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…