kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhaba mdogo wangu mtoto wa shangazi wa kufikia! Hujambo enh?
MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’ ndiyo mpya kwa sasa, amefunguka siri ya kuamua kuishi Marekani.
Akichonga na Star Showbiz, dairekti kutoka kwenye ardhi hiyo ya Donald Trump, AY mwenye makazi katika Jiji la Calabasas, California alisema ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kwamba siku moja awe na makazi kwenye taifa hilo mbali na alipozaliwa Tanzania.
“Siri ya kuja kuishi Marekani ni kwamba hii ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu niwe na makazi huku. Kwa hiyo kwa kufanikisha kununua mjengo Marekani kwangu nimetimiza jambo moja muhimu sana maishani mwangu na ninamshukuru Mungu,” alimaliza AY.
Source: Muungwana blog

Worst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu
Uko sahihi, kuna siku nlishaambiwa na mtu alimuuliza mwanae mayai yanatoka wapi akaambiwa supermarketMkuu pambana na hali yako! Siyo kila mwafrika anayeishi US au Europe ana maisha magumu! Kuna wengine wanaishi vizuri kuliko hata waAmerica wenyewe.
By the way hata hapa bongo kuna wengine hata hizi porojo za vyuma kukaza wanazisikia kwenye viringi vya bia na nyama choma.
Either way, US au bongo kote ni pazuri kuishi. It depends hali yako iko vipi.
Mkuu jambo kubwa tunalokosea ni kufanya maoni kuwa fact.Mkuu pambana na hali yako! Siyo kila mwafrika anayeishi US au Europe ana maisha magumu! Kuna wengine wanaishi vizuri kuliko hata waAmerica wenyewe.
By the way hata hapa bongo kuna wengine hata hizi porojo za vyuma kukaza wanazisikia kwenye viringi vya bia na nyama choma.
Either way, US au bongo kote ni pazuri kuishi. It depends hali yako iko vipi.
Anaogopa kusema kweli, amekimbia utawala wa jiwe.Utakua na tatizo kichwani.
Uko sahihi, kuna siku nlishaambiwa na mtu alimuuliza mwanae mayai yanatoka wapi akaambiwa supermarket
Mzee wa AdSensehongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
fidia waliolipwa na tigo imeboostinawezekana mamsap ndio kapush zaidi
She has a house there according to KUWTK
Kweli hujaongea uongoohongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
because it is cursed land with full of inferiority complexed people who always believe nothing good can come out of themselves.Why so much hate in this land..!?
Tuko pamoja mkuu, huenda tukakutana katika Jerusalem ya Mfalme Mkuu YESU KRISTO.Hata mm pia hii ni ndoto yangu