Ndo uzur wa huko kuanzia kissYah kule ni Green kipindi chote cha Mwaka.
Sanaaa Pametulia sanaa nitakuja Siku moja huko.Ndo uzur wa huko kuanzia kiss
Kupita hyo njia ya migor mpaka town
N green full yan kunabamba vibaya
Haa haa haa hatak story za kupgaDaah chezea mrwanda hataki kuvuta pumzi ya bongo.
Daadeki ndoto za mchana hizihongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
Back=blackWorst thing in the world is to be back in America.
Ni bora kuugua ukoma Bongo kuliko treatment za watu weusi huko kwa Tulampu
Karbu sanaSanaaa Pametulia sanaa nitakuja Siku moja huko.
Takwimu ulifanyia wap?Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Wewe ni promota wa muziki hapa Tanzania?Takwimu ulifanyia wap?
Unajua tofauti ya swali na jibu?Wewe ni promota wa muziki hapa Tanzania?
nna dada angu aliolewa najamaa kutoka migori akachemka ni kugumu balaaAisee Napenda Sana Migori.
nna dada angu aliolewa najamaa kutoka migori akachemka ni kugumu balaa
we komaa na shemu tuuuHahahha huko tunaenda mbali mkuu utasababisha niache Mke wangu nije kuoa huko.
Kama siyo promota itakua ngumu kunielewa.Unajua tofauti ya swali na jibu?
Chanzo chake cha hizo hela nyingi ni nini?Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Haa haa haa hatak story za kupga
Vjembe na changu wa bongo
Movie at kina Zama,mobeto,sepenga
Ok!Kama siyo promota itakua ngumu kunielewa.
Unaonaje nikakuacha hapa?
Kwani yeye hana kufua hicho?inawezekana mamsap ndio kapush zaidi
Mwana FA kapuku tu, hana hela hata ya kumfikia KibaKuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele