Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
hahahaha!Ni kama huo mjengo wa kwny avatar yako mkuu,hahah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha!Ni kama huo mjengo wa kwny avatar yako mkuu,hahah.
hahahaaaKila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Dhaaaaaaaa avatar ya jamaa aiseeeNi kama huo mjengo wa kwny avatar yako mkuu,hahah.
Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Dhaaaa ndoa maana mnyarwanda wang ananisumbua hvi yan hz totoz n zur na n tamu IlaJamaa aliowa Mnyarwanda. Mnyarandwa bila ela hapo hajaolewa, na alivyoona mziki wake unadorora kaona bora aende kubeba mabox ulaya
Mkuu hizi stori mbona kama za kijiweni ndio yale yale ya jay dee kua na pesa kuliko wasanii woteKuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
mi ndoto yangu ni kwenda kuishi hukooo bukoba
Unapenda matokeemi ndoto yangu ni kwenda kuishi hukooo bukoba
Samata ana pesa hana?Mkuu hizi stori mbona kama za kijiweni ndio yale yale ya jay dee kua na pesa kuliko wasanii wote
Mwenye hela atazionesha tu bila hata ya kutaka. Yani pesa hujionesha.mimi sio team wcb ila naamini diamond ana pesa
Hamna mkuu, kule ni shida huku wana wapo wengi hatubaguani, ila kule hata mtoto mdogo mzungu anaweza akakufanyia kitu na humgusi ukimgusa tu unaruka na jamii nzima, huku mtoto akikosea unamzaba kofi na akija baba yake unamwelezea naye anaenda kumzaba kofiUnaweza kuta TZ kuna ubaguzi kuliko kwa Trump? ubaguzi unaofanywa na Jiwe na watu wake, police n.k ni ubaguzi mbaya sana.
Mhasib wake utakuwaKuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Kweli je mwapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, ebu usitukosee adabu kwa kutufananisha na jiji la kijinga....[emoji53] [emoji45]
Wanapenda wao, hasa kugombania dressing table na nyie dada zao....tehteehhKweli je mwapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaa ukisema mbovu" unaitwa sio mzalendo/ chama pinzani"ha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu