AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.

Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Hio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?

Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
 
Kuna ela alipiga ndefu sana, mahakama ilipo amuru tigo wamlipe
 
Mwana FA kapuku tu, hana hela hata ya kumfikia Kiba
[emoji23] [emoji23] umeanza u-team
Hio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?

Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
Hela kaipatia GSM na deals zake nyingine. Jamaa haimbi show anapiga anapojisikia. Promota ukienda ukitaka avunje ratiba zake kata 10M aibuke.
 
Hio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?

Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
Huyu jamaa kumbe ile kaz ya bank aliacha
 
Sasa si inategemea nyimbo ni ya nani? Mana nyingi wameshitikishana
Nani alilipia wakili?

Ela ndefu ile, zinatosha kununua Appartment marekani.

Vyumba vitatu na sebule kwa USd 600k unapata
Nyimbo zilikua wameshirikiana haikua na nani ni nani na wakili Msando alilipwa na wote hakukua na za nani amlipe nani.

Ungekua unakuja The don club hayo yote ungeyajua boss.
 
Back
Top Bottom