General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kuna mpunga alipiga kwa mahakama kuamuru Tigo wamlipe bilion ngap sijuiChanzo chake cha hizo hela nyingi ni nini?
Umesahau walahi imefanyiwa services ya wi_feeha ha ha kweli kumenoga maana kuna dreamliner inafanyiwa service kati kati ya safari na abiria wanashushwa.. ukisema mbovu unaambiwa nzima ila service tu
Hio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Kuna ela alipiga ndefu sana, mahakama ilipo amuru tigo wamlipeHio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?
Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
Ile kesi alishinda AY&FA maana nyimbo zao zilitumiwa bila idhini ya wasanii hao.Kuna ela alipiga ndefu sana, mahakama ilipo amuru tigo wamlipe
Wife ya kiba n wifi ake lazma awepoAaah wapo akina mrs machache na grup lake,yupo mke wa kiba daah bongo tumepoteza kijana
[emoji23] [emoji23] umeanza u-teamMwana FA kapuku tu, hana hela hata ya kumfikia Kiba
Hela kaipatia GSM na deals zake nyingine. Jamaa haimbi show anapiga anapojisikia. Promota ukienda ukitaka avunje ratiba zake kata 10M aibuke.Hio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?
Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
Haa haa FA anazidiwa mpaka na jideMwana FA kapuku tu, hana hela hata ya kumfikia Kiba
Sasa si inategemea nyimbo ni ya nani? Mana nyingi wameshitikishanaIle kesi alishinda AY&FA maana nyimbo zao zilitumiwa bila idhini ya wasanii hao.
So sio hela za FA peke yake.
Mistyping Sir.Back=black
Huyu jamaa kumbe ile kaz ya bank aliachaHio hela kapatia wapi mkuu,kwa michongo ya mziki huu huu au?
Naomba usiseme kwamba kapiga zile billion kwny ile kesi ya co. Ya tigo maana kama ni hivyo wote AY&FA wanapiga pasu na usiseme pia sababu jamaa alifanya kazi bank maana mpk anatoka huko bank alikua ni dhoofu bin khali tu kama vijana wengine.
Alipiga chini kitambo tu mkuu.Huyu jamaa kumbe ile kaz ya bank aliacha
Dhuuuuu aliona kuajiriwa n utumwa kama alivoimbaAlipiga chini kitambo tu mkuu.
Nyimbo zilikua wameshirikiana haikua na nani ni nani na wakili Msando alilipwa na wote hakukua na za nani amlipe nani.Sasa si inategemea nyimbo ni ya nani? Mana nyingi wameshitikishana
Nani alilipia wakili?
Ela ndefu ile, zinatosha kununua Appartment marekani.
Vyumba vitatu na sebule kwa USd 600k unapata
Ameacha kitambo kipindi hicho anamalizia malizia kupiga kitabu conventry university Uk.Dhuuuuu aliona kuajiriwa n utumwa kama alivoimba
Ni kama huo mjengo wa kwny avatar yako mkuu,hahah.Ebu tuuone huo kjemngo!!!