AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

alafu watu wengi watafikiri AY hela kapatia kwenye malipo ya kesi ya Tigo kumbe jamaa kitambo mfukoni yuko vizuri...

ukitaka kumjua jamaa kiundani kuna ile YATCH inakodishwaga kule slip way na fanya research yako vizuri kuhusu mwekezaji wa kisiwa cha mbudya pamoja na viboti vya kwenda mbudya kutokea whitesand hapo ndio utajua AY ni don kitambo.. hadi wenzake huwa wanamuita EL Chapo au senator wa mbudya sababu ya mfuko kutuna
 
Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.

Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Mkuu hizi stori mbona kama za kijiweni ndio yale yale ya jay dee kua na pesa kuliko wasanii wote
Mwenye hela atazionesha tu bila hata ya kutaka. Yani pesa hujionesha.mimi sio team wcb ila naamini diamond ana pesa
 
Mkuu hizi stori mbona kama za kijiweni ndio yale yale ya jay dee kua na pesa kuliko wasanii wote
Mwenye hela atazionesha tu bila hata ya kutaka. Yani pesa hujionesha.mimi sio team wcb ila naamini diamond ana pesa
Samata ana pesa hana?
 
Unaweza kuta TZ kuna ubaguzi kuliko kwa Trump? ubaguzi unaofanywa na Jiwe na watu wake, police n.k ni ubaguzi mbaya sana.
Hamna mkuu, kule ni shida huku wana wapo wengi hatubaguani, ila kule hata mtoto mdogo mzungu anaweza akakufanyia kitu na humgusi ukimgusa tu unaruka na jamii nzima, huku mtoto akikosea unamzaba kofi na akija baba yake unamwelezea naye anaenda kumzaba kofi
 
Mbona fujo zote hizi? Itakuwa ule mpunga wa Tigo umetoka nini? Maana siku hizi hata simsikii Msando akipush ile kesi.
Tumia baba, ila fungu likiisha, usisite kurudi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…